Ni Jukumu langu kuhakikisha wanawake niliozaa nao wanaolewa

so mkuu ndo unawapigia promo ili tukusaidie kulea watoto wako??? au unataka uje kupasha kiporo tukiwachukua??
 
Wanawake wangekuwa wanakubali kukaa pamoja bila figisu, ingekuwa raha sana maana ungejitwalia hao wote wanne uwaweke chini ya himaya yako. Hakuna mwanaume asiyependa kumiliki zaidi ya mmoja, sema tuu kinachokwamisha ni maswla ya imani, afya, uchumi, tamaduni na maridhiano baina ya hao wake. Tofauti na hapo asilimia kubwa tungekuwa tunamiliki hata 10 kihalali kabisa.
 
Kuanzia leo hayo majina yasikaribie kwenye himaya yangu!
 
MLEVi Mmoja, Hahahaa..... Mwana huwezi amin pamoja na majanga yote hayo Kuna Wengine wanataka usajili tena.... Ila fresh tu nitaishi nao kama nilivyo ishi nao leo, Jana na juzi
 
so mkuu ndo unawapigia promo ili tukusaidie kulea watoto wako??? au unataka uje kupasha kiporo tukiwachukua??
Hahahaaa watoto hawana tabu baba yao Engineer
 
Kuna uzi niliuwasilisha hapa unaitwa "mwanamke akipenda kapenda ukweli" nayo ni currently life story yangu ukiusoma ukielewa utajua hawa watu ni akili tu
 
Hakuna mechi inayochezwa na away goal kwahyo watakutana na single faza uko uko au waliwe tuu make ushawaharibu tayar na kwann uwaache ww kama ni wastaarabu au huna Nguvu za kiume miles45,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najitolea KUWAOA WOTE WANNE! Ila ukubali nikate kitu yako through surgery ili muachane kabisa moja kwa moja na usijr kugusa gusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…