Ni jukwaa gani huwa huingii kabisa?

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,415
Reaction score
119,473
Heri ya mwaka mpya wanajamii.
Moja kwa moja kwenye mada...mimi huwa siingii Jf garage kwa sababu sina gari na sitegemei kumiliki any time soon [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Lingine ni Jf Sports...nimetafuta kitufe cha ignore kwenye app naona hakipo.
Wewe mwenzangu ni jukwaa gani huwa hugusi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sijui jukwaa gani sijafika aisee!! Ani kunasiku unakuta naingia kila jukwaa nisome hata habari mbili nione jukwaa gani linautamu!!...
Enewei labda kuna jukwaa linaonekana na watu wachache ila haya mengine hamna..


KichWa Box
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…