Ni jukwaa gani huwa huingii kabisa?

Ni jukwaa gani huwa huingii kabisa?

Kwenye sports naendaga kuchungulia comments za crush wangu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nione amesema nini maana yeye hana kwingine ana comment hata kwa bahati mbaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha miaka ile nilikuwa naenda kwenye uzi wa Chelsea kumuona m'bebe wangu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Lugha, Sheria, Shef, Afya, Urembo, Mitindo na Utanashati, Complaints na Ushauri, Historia, Celebrities....ni mengi mnó!

Huwa naingia Siasa, Habari na Hoja, Sports Jamii, Chit chat, MMU, Ujenzi, Uchumi na biashara, Kilimo, Science.
 
Mkuu unakosa uhondo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huwa naanza kusoma Intelligencez Historia, Tech namaliza na Kimataifa. Mengine ni nyongeza na kuna ambayo nasoma tu wala sichangii. Niko radhi nishinde kwenye mada moja kali ya kimataifa kuliko kusoma mada zote za Chit Chat au MMU siku hiyo
 
Back
Top Bottom