Ni jukwaa gani huwa huingii kabisa?

Ni jukwaa gani huwa huingii kabisa?

Heri ya mwaka mpya wanajamii.
Moja kwa moja kwenye mada...mimi huwa siingii Jf garage kwa sababu sina gari na sitegemei kumiliki any time soon [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Lingine ni Jf Sports...nimetafuta kitufe cha ignore kwenye app naona hakipo.
Wewe mwenzangu ni jukwaa gani huwa hugusi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Dah....Shem upo? Heri ya mwaka mpya!🤭
 
Dada mimi nakushauri usiignole majukwaa, maana kuna watu huwa hawana uelewa wa majukwaa, yeye anapost jukwaa lolote.
Mtu anaweza kupost kitu unachokipenda kwenye jukwaa ambalo wewe umeliignole.

Nje ya mada.
 
MMU naingiaga Mara tatu kwa mwaka na hili sijui linaitwa jet nini sijui ndo nmeingia leo toka mwaka jana Mwezi wa 5
 
Back
Top Bottom