Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6
Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.
Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.
Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.
Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.
Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa
Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.
Learn or Perish