Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Hao mama wanyumbani wanalika lakini wananidhamu na heshima pia wanatimiza majukumu yao kama mama, lakini hawa wafanyakazi wenzetu huku makazini karibu muda wote tunawabinya makalio na kuwachakata na wanatupatia siri zenu.
Mnazitumia kufanya nini hizo siri mkishapatiwa?
 
Kwenye maelezo na picha,ngoja tuengeze na hii
FB_IMG_1672829140136.jpg
 
Mkuu usimwamini mke kwa 100% pia jiepushe na mawazo ya aina hiyo. Utapata magonjwa yasiyoambukiza. Mwanamke hata awe mama wa nyumbani siku ya kulika nje ikifika ataliwa hata chooni. Sema hawa wasomi maofisini wanakuwaga na matamanio mengi ya kingono... kijana ukiwa vizuri kwenye ngono utawachakata mno. Enzi nikiwa mwanachuo nilikuwa nafanya field ofisi fulani ya serikali posta.. kuna mdada fulani wa makamo nikazoeana naye alikuwa National Audit. Kila siku baada ya kazi alikuwa akinipa lift hadi Sinza nilipokuwa naishi... matokeo yake tukawa wapenzi na akapata mimba. Alinikera mno alivyoitoa pale Marie Stopes afrika sana.
 
Hakuna penye usalama, iwe mama wa nyumbani, mjasiriamali au mwajiriwa. Attitude ya mtu tu. Huku mitaani daily kesi za bodaboda, wapaka rangi nk kuwala wake za watu tena sio waajiriwa ni nyingi.
 
Hizo tunatumia udhaifu wenu kuwala wake zenu bila kuwapa hata mia zaidi ya offer ya chakula cha mchana.
Ooh, ok. Zitafuneni ndo kazi ya malaya, kutafunwa kiwepesi.
 
Hakuna penye usalama, iwe mama wa nyumbani, mjasiriamali au mwajiriwa. Attitude ya mtu tu. Huku mitaani daily kesi za bodaboda, wapaka rangi nk kuwala wake za watu tena sio waajiriwa ni nyingi.
Malaya ni malaya popote hata akivaa pete. Kama wanaume tungekuwa na akili ya kumtambua malaya na kumshukuru kwa title yake ingependeza sana. Unamla kisha unasema "Asante malaya, umeniondolea nyege" ila wengi wanafiki au hawana ujasiri wa kumueleza mwanamke kuwa wewe ni malaya.
 
Huo ndo uanaume sasa, Hawa wanaosema hivi hawana ndoa wanachangamsha kijiwe..!!
Mtoto mmoja kwa wastani o level unaspend 20 million kwake kwa miaka minne hiyo ni school fees tu.

Lets say una watoto watatu ni million 60 out of other expenses, halafu badala ya kuwaza ustawi wa familia yako ukae unawaza ujinga kama huu, hizi ni story za vijana wanaosumbuliwa na balehe.
 
Back
Top Bottom