Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Utavunja ngapi?
Hata 1000.

Halafu Kama una bahati mbaya ya kila ukioa unaokota malaya pia jichunguze unapowaokota. Angalia chaguzi zako.

Wanawake decent wanaojiheshimu na wenye hofu ya MUNGU wapo sababu wazazi wenye maadili na waliowakuza kwa maadili wapo.

Unless tukubaliane kuwa mama zetu woote katika jamii ya leo wamekuza malaya.
 
Mtoto mmoja kwa wastani o level unaspend 20 million kwake kwa miaka minne hiyo ni school fees tu.

Lets say una watoto watatu ni million 60 out of other expenses, halafu badala ya kuwaza ustawi wa familia yako ukae unawaza ujinga kama huu, hizi ni story za vijana wanaosumbuliwa na balehe.
Wapumbavu hawawazi hayo, akili zao zimetekwa na ngono muda wote..!!
 
FB_IMG_1749140916781.jpg

Hata 1000.

Halafu Kama una bahati mbaya ya kila ukioa unaokota malaya pia jichunguze unapowaokota. Angalia chaguzi zako.

Wanawake decent wanaojiheshimu na wenye hofu ya MUNGU wapo sababu wazazi wenye maadili na waliowakuza kwa maadili wapo.

Unless tukubaliane kuwa mama zetu woote katika jamii ya leo wamekuza malaya.
Kama Kipaumbele chako cha kuowa ni hiki baadaye unataka umlaumu nani? Au unataka kusingizia wanawake wote ni sawa?

Wewe unaowa Striper halafu unataka kubwekabweka kuwasema wanawake badala ya kuuliza mke anapatikana vipi.
 
Mbona unaponda sana wanawake? Kwamba nyie wanaume mko perfect?

Kwanini alaumiwe mama na isiwe baba? Wakati jukumu la malezi ya familia ni la wote..!!
Ukikuta familia ina malaya iwe wa kiume au wa kike tatizo ni baba, kashindwa kuonyesha nidhamu na wajibu wake km baba..!!

Hakuna mwili bila kichwa..!!
 
View attachment 3361895
Kanishangaza eti mama zetu wamezalisha malaya..!! Hao malaya walizaliwa na mama peke yake?
Yani anakwepa jukumu la kulea, sasa sijajua huyu ni baba wa aina gani??
 
Mimi sipondi wanawake. Naponda Malaya. Mwanamke akiwa malaya hatakiwi kuitwa mwanamke, anatakiwa kuitwa malaya. Wanawake ni maua yetu, tunawapenda sana ila malaya ni malaya.
 
Kanishangaza eti mama zetu wamezalisha malaya..!! Hao malaya walizaliwa na mama peke yake?
Yani anakwepa jukumu la kulea, sasa sijajua huyu ni baba wa aina gani??
Inaonekana umesoma haraka ndo maana hukunielewa ukashangaa. Kwani boss, unasapoti Malaya kuwa na hadhi sawa na mwanamke, mwanamama mwenye maadili yake? Kama la basi tupo page moja.
 
Mleta mada upo sahihi kabisa.
Kuna mke wa Mtu tulizoeana Sana kazini tukajikuta kwenye penzi zito.Tukaishia kutafunana.
Usijihisi hatia mkuu, hapo wa kulaumiwa ni huyo mke wa mtu

Maana jukumu la kukataa mitongozo yako lilikuwa ndani ya uwezo wake
​
 
Endeleeni kufananisha mwanaume na mwanamke sasa.

Wewe hata ukichepuka ukazaa nje hiyo mimba italelewa huko na maisha yaweza kwenda.

Mkeo akizaa nje utalea kuanzia mimba hadi toto la jamaa, utalipa ada nk hadi pale mtakapotibuana ndani uropokewe mwana si wako ndo ustuke na kuanza kufananisha sura na kupima DNA. Na nchi hii ilivyo fyatu huko kwenye DNA utadanganywa mwana wako na mkeo malaya atakuomba radhi kwamba ilikuwa hasira tu kuropoka vile uta calm hadi siku jamaa litapomchukua mwanae rasmi presha ipande ukate moto.
Umeongea kitaalamu sana​
 
Ebu kua na heshima na wanawake wewe ,Tabia za mama ako au dada na mashangazi zako wanazozifanya maofisini usifananishe ni za wanawake wote..Kua na adabu Narcissistic mkubwa.
Kwani hili tatizo la wake za watu kuliwa na wanaume wanaofanya nao kazi lipo au halipo?​
 
Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.

Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6

Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.

Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.

Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.

Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.

Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa

Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.

Learn or Perish
​
Xi Jinping
Ni kweli malaya walioolewa wanagawa huko maofisini na kwa maboda boda na majirani.

Tatizo ni kwamba umelileta hili jambo kama kuwa na mke mfanyakazi ndo tatizo ilihali umalaya ndo tatizo.

Uwepo wa malaya ni sawa na uwepo wa kimbung'a, huwezi acha kuezeka nyumba sababu unahofu itaezuliwa na kimbung'a.

Unachoweza kufanya ni kuhakikisha msingi wa kuezeka ni imara na ikitokea bahati mbaya umefanya yote na kimbunga kikaezua paa, unaezeka upya kwa uimara zaidi.
 
Kwani hili tatizo la wake za watu kuliwa na wanaume wanaofanya nao kazi lipo au halipo?​
Malaya analiwa hata na bodaboda, muuza urembo, muuza genge, konda wa daladala, humo mote interest yake apate huduma zote hizo bure, sasa huyo hata akiajiliwa ofisini unategemea nini?

Kuna wanawake kila Alhamisi uswahilini lazima wajiuze ili kupata pesa za marejesho lakini ukijiuliza hiyo mikopo waliyochukuwa walifanyia kazi gani au biashara gani huwezi kupata majibu.
 
Halafu Sasa waume za watu ndio wanaotoka na hao wake za watuu😅😅😅sijui kitaalamu imekaajee hii
 
Una ujinga mwingi na ushamba wa mapenzi

Post zako zinaonesha kuwa una stress za kut*mb*wa mke/mpenzi wako

NB
Mapenzi hayana formula, ukioa malaya/kahaba atatiwa tu hata awe mama wa nyumbani

Ukioa mwanamke smart atakuwa smart tu hata afanye kazi kwenye mazingira gani.

Shida yenu wenyewe malaya na mmeoa malaya halafu mnasingizia kazi
Umegonga kunako...huyu ana stress kama siyo depression
 
Wakati yeye yupo kazini na wewe tafuta work wife kazini kwako. Ngoma draw.
 
Back
Top Bottom