Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Kwani hili tatizo la wake za watu kuliwa na wanaume wanaofanya nao kazi lipo au halipo?​
Usiniulize mimi huu upuuzi wako,kawaulize wanawake wa ukoo wenu..Ukianza na mama ako mzazi.,akikujibu hili swali uje utuandikie hapa.
 
Mimi sipondi wanawake. Naponda Malaya. Mwanamke akiwa malaya hatakiwi kuitwa mwanamke, anatakiwa kuitwa malaya. Wanawake ni maua yetu, tunawapenda sana ila malaya ni malaya.
Basi ponda na hao wanaofanya nao umalaya, kwani wanafanya wenyewe wanawake kwa wanawake??
 
Kama ili uwe mwanamke ni bikira basi zaidi ya robo tatu duniani ni malaya wakiwemo mama zenu maana haiwzekani kuingia leba bila dudu la yuyu kupita shimo la uzima
Mahi 😹😹
 
Inaonekana umesoma haraka ndo maana hukunielewa ukashangaa. Kwani boss, unasapoti Malaya kuwa na hadhi sawa na mwanamke, mwanamama mwenye maadili yake? Kama la basi tupo page moja.
Hiyo kuona jinsia ya kike ndio malaya halafu jinsia ME unaiona malaika ndo uliponichefua..!! 😏

Kwahiyo hakuna malaya wa kiume? Hao wanawake wanajipanda wenyewe?
 
Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.

Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6

Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.

Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.

Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.

Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.

Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa

Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.

Learn or Perish
​
Mkuu,

Kwa nini unashikilia sana hizi mada za watu na wake zao?

Kama wameamua kuishi maisha yao hivyo si sawa tu, mbona unawaingilia watu kwenye ndoa zao?

Tatizo lako ni lipi hasa?

Umeumizwa katika ndoa?

Is there some emptiness in your life that you want to fill by attacking other people's marriages?

Naona una trend na hizi mada, si uzi mmoja tu.

Are you hurt by a woman?
 
Mtoa mada anajiona mjanja lakina huna lolote
Labda utakuwa safe only kama wewe ni mpiga punyeto sugu maana mkee wako unatembea nae kila mahali out na hapo hauko safe kutombewa utatombewa tu hata uoe goli kipa
 
Basi ponda na hao wanaofanya nao umalaya, kwani wanafanya wenyewe wanawake kwa wanawake??
Mkuu, ni rahisi mwanamke kutokuwa malaya kwa kuamua kuliko kuwa malaya kwa kushawishiwa na mwanaume mwanaume malaya akinyimwa hana option zaidi ya kula kwa macho.

Jamii inamlinda mwanamke, akisema No ni No na akilazimishwa jamii inamvamia aliyemlazimisha na kumuita mbakaji.

Tuna nafasi yetu wanaume kwenye kuzuia umalaya ila si kama mwanamke.
 
Hiyo kuona jinsia ya kike ndio malaya halafu jinsia ME unaiona malaika ndo uliponichefua..!! 😏

Kwahiyo hakuna malaya wa kiume? Hao wanawake wanajipanda wenyewe?
Hahaha. Ngoja nikuulize ili tupate tofauti ya Me na Ke.

Unadhani ni kwanini ni rahisi mwanaume kufungishwa ndoa ya mkeka akikutwa na binti kuliko mwanamke kufingishwa ndoa ya mkeka akikutwa na kijana?
 
Aliwe asiliwe atajua mwenyewe cha msingi nisijue tu.

Mimi pia nakula ila sio wake za watu.
Na mimi nashangaa mkuu.

Eti wewe na mke wako mnaishi mnavyojua wenyewe, halafu anakuja mtu analalamikia maisha yenu mnavyoishi nyie wenyewe kwa furaha zenu.

Hapo lazima kutakuwa na tatizo fulani la akili kwa huyo mtu baki anayelalamika.
 
Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.

Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6

Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.

Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.

Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.

Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.

Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa

Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.

Learn or Perish
​
Tatizo tunaongea sana
 
Kama ili uwe mwanamke ni bikira basi zaidi ya robo tatu duniani ni malaya wakiwemo mama zenu maana haiwzekani kuingia leba bila dudu la yuyu kupita shimo la uzima
Hahaha.
 
Na mimi nashangaa mkuu.

Eti wewe na mke wako mnaishi mnavyojua wenyewe, halafu anakuja mtu analalamikia maisha yenu mnavyoishi nyie wenyewe kwa furaha zenu.

Hapo lazima kutakuwa na tatizo fulani la akili kwa huyo mtu baki anayelalamika.
Hahaha. Kwamba Xi Jinping haya malalamiko yake yanaambatana na tatizo la akili?
 
Mbona kasheshe sasa ,inachoma kama pasii.Ngoja ninywe hata konyagi.
Leo ofisini nimemaliza kazi mapema sana, nikaanza mvuta mfanyakazi, mchumba wa mtu rest room .. akashituka akaaga chap 😅😅😅
 
Back
Top Bottom