Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #121
Ukioa malaya lazima aliwe tu hata akifanya kazi kanisani ataliwa.
Umesema vyema mfano waimba kwaya wa kike
Ukioa malaya lazima aliwe tu hata akifanya kazi kanisani ataliwa.
Usiniulize mimi huu upuuzi wako,kawaulize wanawake wa ukoo wenu..Ukianza na mama ako mzazi.,akikujibu hili swali uje utuandikie hapa.
Uzi ufungweUna ujinga mwingi na ushamba wa mapenzi
Post zako zinaonesha kuwa una stress za kut*mb*wa mke/mpenzi wako
NB
Mapenzi hayana formula, ukioa malaya/kahaba atatiwa tu hata awe mama wa nyumbani
Ukioa mwanamke smart atakuwa smart tu hata afanye kazi kwenye mazingira gani.
Shida yenu wenyewe malaya na mmeoa malaya halafu mnasingizia kazi
Umeumizwa katika ndoa?
Is there some emptiness in your life that you want to fill by attacking other people's marriages?
Naona una trend na hizi mada, si uzi mmoja tu.
Are you hurt by a woman?
Uzi ufungwe
Kwahiyo?Moderator wanajielewa
Ila baba zenu ndo wameoa hao
Ukweli lazima usemweKwahiyo?
Mie huwa nashangaa sana, wanawake kulalamikiwa kwa kitu kuhusu mahusiano. Jamani kwani lazima kuwa ktk mahusiano au ndoa? Ukiona huwezi kaa chonjo, km vipi hamieni kwa jinsia yenu.
Tumechoka na malalamiko kila siku. Lol
Nyama ni nyingiiiiiii......!
Kusanuka au ujinga? Si muwe na Wa jinsia yenu ili muendane vizuri, LolModern women hampendi sana wanaume wasanuke
Upii?Ukweli lazima usemwe
Just a normal day at the officeLeo ofisini nimemaliza kazi mapema sana, nikaanza mvuta mfanyakazi, mchumba wa mtu rest room .. akashituka akaaga chap 😅😅😅
Lunch hatoke na demu mwenzake anafatana na man then kidume kinajitutumua ana clear all bills miak nenda rudiSijajua mnashindwa wapi kuelewana kati ya wewe na mleta uzi ukiangalia ulichokiandika hapa na alichokiandika ni kama mnakubaliana
Umekubali kuwa wapo wake za watu wanatiwa na wafanyakazi wenzao na ndio hao anawazungumzia
Ila ukweli kwenye hizi kazi kumechafuka
Huwezi kuwa na hiyo consistencyHakikisha una mazoea ya kumla mkeo kila siku asubuhi kabla hajaondoka na jioni akitoka kazini. Hata kama amechoka au anaumwa wewe labua tuu.
Umesema vyema mkuuXi Jinping
Ni kweli malaya walioolewa wanagawa huko maofisini na kwa maboda boda na majirani.
Tatizo ni kwamba umelileta hili jambo kama kuwa na mke mfanyakazi ndo tatizo ilihali umalaya ndo tatizo.
Uwepo wa malaya ni sawa na uwepo wa kimbung'a, huwezi acha kuezeka nyumba sababu unahofu itaezuliwa na kimbung'a.
Unachoweza kufanya ni kuhakikisha msingi wa kuezeka ni imara na ikitokea bahati mbaya umefanya yote na kimbunga kikaezua paa, unaezeka upya kwa uimara zaidi.
Kawaida sana , na Leo nimewahi ofisi nime mtafunaJust a normal day at the office