Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #141
Umesema vyema ukioa malaya lazima aliwe tu haijalishi ni wa nyumbani, mfanyabiashara au mwajiriwaMalaya analiwa hata na bodaboda, muuza urembo, muuza genge, konda wa daladala, humo mote interest yake apate huduma zote hizo bure, sasa huyo hata akiajiliwa ofisini unategemea nini?
Kuna wanawake kila Alhamisi uswahilini lazima wajiuze ili kupata pesa za marejesho lakini ukijiuliza hiyo mikopo waliyochukuwa walifanyia kazi gani au biashara gani huwezi kupata majibu.