Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Huu ni ukweli ambao Kiranga hataki kuusikia​
Watu waliooa wameamua kuoa, ni maamuzi yao, maisha yao.

Nyie ambao hamjaamua kuoa pia ni haki yenu.

Kwa nini mnaumizwa sana na uamuzi wa watu wengine kuamua kuoa?

Nyie si mmeamia msioe na mnaishi loa tu?

Kwa nini mnawasakama sana walioamua kuoa?
 
Una ujinga mwingi na ushamba wa mapenzi

Post zako zinaonesha kuwa una stress za kut*mb*wa mke/mpenzi wako

NB
Mapenzi hayana formula, ukioa malaya/kahaba atatiwa tu hata awe mama wa nyumbani

Ukioa mwanamke smart atakuwa smart tu hata afanye kazi kwenye mazingira gani.

Shida yenu wenyewe malaya na mmeoa malaya halafu mnasingizia kazi
😁😁😁😁

Kaka unateseka ukiwa wapi !? Kwani mtoa thread kosa lake ni lipi maana kaongea ukweli mtupu
 
Mnanichekesha kwa hiyo hao wanaokaa nyumbani hawaliwi?Au hao mnaosema mnawafunguliwa biashara wa kuliwa ni wa kuliwa tu awe ameajiriwa au hajaajiriwa.
 
😹😹😹 Nyie mtafanya wanaume wenzenu waanze kukataza wake zao kufanya kazi…!!
Si walitaka kuoa wanawake wa kusaidiana nao maisha, sasa huko kwenye vituo vya kazi vya wake zao kuna wanaume wanawasaidia majukumu yao ya unyumba

Twende mbele turudi nyuma wanawake mna tamaa za kijinga sana yaani workmates wa kiume wanawatomba kwa ofa za kijinga sana
 
Mnanichekesha kwa hiyo hao wanaokaa nyumbani hawaliwi?Au hao mnaosema mnawafunguliwa biashara wa kuliwa ni wa kuliwa tu awe ameajiriwa au hajaajiriwa.
Wote wanaliwa, ila uzi huu specifically umegusia walio kazini
 
Ijumaa walitoka saa 9 na husband office wake wakaenda kufanya yao

Ila anarudi saa 2 usiku nyumbani amechoka akisema kazi zilikuwa nyingi (overtime)

Akibadilisha nguo tu huyo anakimbilia bafuni kuoga.

Halafu siku hizi office husbands wajanja sana hawaipigi weekend wanacheza na workdays tu, usishangae Jumatatu ya leo wake za watu kadhaa wakavuliwa vyupi
​
Kama huyo office husband nae ana mke wake basi ni shwari tu mkuu. Kazi iendelee
 
Kama huyo office husband nae ana mke wake basi ni shwari tu mkuu. Kazi iendelee
20250405_065707.jpg
​
 
Mkuu,

Kwa nini unashikilia sana hizi mada za watu na wake zao?

Kama wameamua kuishi maisha yao hivyo si sawa tu, mbona unawaingilia watu kwenye ndoa zao?

Tatizo lako ni lipi hasa?

Umeumizwa katika ndoa?

Is there some emptiness in your life that you want to fill by attacking other people's marriages?

Naona una trend na hizi mada, si uzi mmoja tu.

Are you hurt by a woman?
Mkuu,

Kwanini unazipinga sana mada zinazohusu uwepo wa Mungu?

Kama watu wameamua kuamini Mungu yupo, sawa tu, kwanini unawaingilia watu kwenye imani zao?

Tatizo lako ni lipi hasa?

Umeumizwa na watu kumuamini Mungu?

Is there emptiness in your life that you want to fill by attacking a belief in the existence of God?

Naona una trend kwenye comment za kupinga uwepo wa Mungu, si uzi mmoja.

Are you hurt by a man's belief in God Kiranga
 
Si walitaka kuoa wanawake wa kusaidiana nao maisha, sasa huko kwenye vituo vya kazi vya wake zao kuna wanaume wanawasaidia majukumu yao ya unyumba

Twende mbele turudi nyuma wanawake mna tamaa za kijinga sana yaani workmates wa kiume wanawatomba kwa ofa za kijinga sana
Swala la wake za watu kuliwa ofisini lipo, ila mm naona kama humu jf hilo swala linakuzwa kuliko uhalisia

Ila yote tisa wanaume wanaokula wake za watu kwa kujua, wengi ni waharibifu, wanakula hadi 0713, kama kuna jamaa mmoja wa humu jf alileta uzi alienda kumfumania mkewe hotelini, ile yuko mlangoni anasikia chumbani njemba inamuomba mkewe 0713, mke akajibu kuwa hajaja na mafuta 😁 Mzee wa kupambania
 
Mkuu,

Kwanini unazipinga sana mada zinazohusu uwepo wa Mungu?

Kama watu wameamua kuamini Mungu yupo, sawa tu, kwanini unawaingilia watu kwenye imani zao?

Tatizo lako ni lipi hasa?

Umeumizwa na watu kumuamini Mungu?

Is there emptiness in your life that you want to fill by attacking a belief in the existence of God?

Naona una trend kwenye comment za kupinga uwepo wa Mungu, si uzi mmoja.

Are you hurt by a man's belief in God Kiranga
Mada za Mungu zinaniathiri.

Watu wa imani ya Mungu wanaingilia public policy.

Kwenye habari ya kuoa hakuna tatizo hilo

You are comparing apples to oranges. Logical non sequitur fallacy.
 
Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.

Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6

Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.

Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.

Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.

Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.

Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa

Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.

Learn or Perish
​
Asipoliwa na huyo workhusband wake, ataliwa na watu wengine tuu, na kuliwa ni kuliwa tuu
 
Swala la wake za watu kuliwa ofisini lipo, ila mm naona kama humu jf hilo swala linakuzwa kuliko uhalisia

Ila yote tisa wanaume wanaokula wake za watu kwa kujua, wengi ni waharibifu, wanakula hadi 0713, kama kuna jamaa mmoja wa humu jf alileta uzi alienda kumfumania mkewe hotelini, ile yuko mlangoni anasikia chumbani njemba inamuomba mkewe 0713, mke akajibu kuwa hajaja na mafuta 😁 Mzee wa kupambania
Mimi ikitokea namfumania mke wangu na njemba sitawafanya chochote, nitawaambia tu tuliunge tupige 3some

Ukifanya hivi watakushukuru sana na hawatakusahau kwa heshima uliyowaonyesha mpaka siku wanaingia kaburini
 
Back
Top Bottom