Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Mkuu nimefanya quotation kimakosa kwako, nilikuwa nafnya kwa mtu mwingine ambaye hataki kuamini kuwa mke wake anagongwa nje
Ooh, ok mkuu. Si ndo nkasema mbona hoja yangu haikuelekea huko hii saikolojia inatoka wapi tena?
 
Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.

Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6

Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.

Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.

Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.

Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.

Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa

Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.

Learn or Perish
​
Utoto unakusumbua. Siku ukijua kuwa unayemtambua kama baba yako sio baba yako wa damu ndio utakuja kuelewa kuwa mahusiano hayana formula.
 
Hii sasa ni akili kwani mkeo kuliwa nayo ni kitu ya kumind kweli?! Mbususu sii yake anampa atakaye.
Wewe nae una kibami/de libolo mpe utakaye maisha ni haya haya
Watu wanajitia stress zisizo na msingi tu,mtu umekutana nae na nyege nyege zenu za ujana mkaona mjenge familia kisha ujifanye mmiliki.
Shukuru kakuzalia watoto hilo jambo bora,mengine ombea yasitokee yakitokea kimbia chap maana huwa hawarudi nyuma.
 
Una ujinga mwingi na ushamba wa mapenzi

Post zako zinaonesha kuwa una stress za kut*mb*wa mke/mpenzi wako

NB
Mapenzi hayana formula, ukioa malaya/kahaba atatiwa tu hata awe mama wa nyumbani

Ukioa mwanamke smart atakuwa smart tu hata afanye kazi kwenye mazingira gani.

Shida yenu wenyewe malaya na mmeoa malaya halafu mnasingizia kazi
Kuna sehemu mkeo anajulikana na bajaj/bodaboda kwa ajili ya kurahisisha uzinzi wake.
Nachokuomba naomba umzingatie sana mtoa mada maana ana kitu.
 
Ovyo kabisaaa 🤑
Ata nyie wana2ake ma ofisini mnafurahi....sii mnasambaziwa ndalamanna maboss wenu. Win win situation hiyo.
Unachokosa kwenye ndoa yako unakipata ofisini
 
Ukweli ni kwamba:

Mwanamke wako kuna mwanaume sehemu yake ya kazi (kazini) anamuheshimu sana na kumtii kuliko wewe.
 
Back
Top Bottom