Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kasheshe
Sijajua mnashindwa wapi kuelewana kati ya wewe na mleta uzi ukiangalia ulichokiandika hapa na alichokiandika ni kama mnakubalianaUna ujinga mwingi na ushamba wa mapenzi
Post zako zinaonesha kuwa una stress za kut*mb*wa mke/mpenzi wako
NB
Mapenzi hayana formula, ukioa malaya/kahaba atatiwa tu hata awe mama wa nyumbani
Ukioa mwanamke smart atakuwa smart tu hata afanye kazi kwenye mazingira gani.
Shida yenu wenyewe malaya na mmeoa malaya halafu mnasingizia kazi
Mapenzi hayana formula, ukioa malaya/kahaba atatiwa tu hata awe mama wa nyumbani
Ukioa mwanamke smart atakuwa smart tu hata afanye kazi kwenye mazingira gani
Hizi nyuzi au nyuzi kama hizi ingawa inaweza kuwa ni kweli ila mnatuharibu kisaikolojia sisi Mabaharia halafu ushindi mnawapa Chama cha mashetani kataa ndoa π€¬
Uwe unakausha tuu Baharia cha msingi watoto wawe damu tuuUkweli lazima usemwe mkuu, tatizo halikimbiwi. Wewe unafkiri nini kifanyike baharia?
Haya ni mawazo hasi dhidi ya wanawake,kila siku kuwasema wanawake mara hiki mara kile,vipi kuhusu wanaume waume za watu,wao hawachukuliwi na wanawake wanaofanya nao kazi? umesiikia wanawake walioolewa wanaolalamika?Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wanakuwa nao kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6
Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.
Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.
Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.
Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.
Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa
Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.
So sad watu wana shabikia Ngono kuliko mambo muhimu yaliobeba future zao kama huyu boya!! Mwanamke akiamua lake akuna wa kumzuia....wewe omba Mungu akupe mke mkeo...huko nyumbani kuna majirani...wauza uzuri na mboga mboga,wauza genge,wauza duka etc.....kama mkeo ni javi la wageni atalika tu na ata boda boda.acha ujiga nenda kibaruaniUkweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wanakuwa nao kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6
Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.
Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.
Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.
Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.
Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa
Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.
Learn or Perish