Ooh, ok mkuu. Si ndo nkasema mbona hoja yangu haikuelekea huko hii saikolojia inatoka wapi tena?Mkuu nimefanya quotation kimakosa kwako, nilikuwa nafnya kwa mtu mwingine ambaye hataki kuamini kuwa mke wake anagongwa nje
Kwa hiyo na Mama Nanginyii wangu anagongwaga? Eti..
Utoto unakusumbua. Siku ukijua kuwa unayemtambua kama baba yako sio baba yako wa damu ndio utakuja kuelewa kuwa mahusiano hayana formula.Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6
Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.
Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.
Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.
Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.
Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa
Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.
Learn or Perish
Ndiyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo na Mama Nanginyii wangu anagongwaga? Eti..
Watu wanajitia stress zisizo na msingi tu,mtu umekutana nae na nyege nyege zenu za ujana mkaona mjenge familia kisha ujifanye mmiliki.Hii sasa ni akili kwani mkeo kuliwa nayo ni kitu ya kumind kweli?! Mbususu sii yake anampa atakaye.
Wewe nae una kibami/de libolo mpe utakaye maisha ni haya haya
Au anataka bikra iwe ya milele?hata kahaba si alikuwaga bikra? Au kahaba anazaliwa hana bikra
Wake wakae nyumbani kulea watoto na baba watotoNn kifanyike labda kutatua tatizo?
Bora hata ungesema wafanye shughuli za kujiajiri sio kuajiriwaWake wakae nyumbani kulea watoto na baba watoto
Ila wanawake maofisininraha sana sii ndio kama hivyo wanatusambazia uteleziBora hata ungesema wafanye shughuli za kujiajiri sio kuajiriwa
Kuna sehemu mkeo anajulikana na bajaj/bodaboda kwa ajili ya kurahisisha uzinzi wake.Una ujinga mwingi na ushamba wa mapenzi
Post zako zinaonesha kuwa una stress za kut*mb*wa mke/mpenzi wako
NB
Mapenzi hayana formula, ukioa malaya/kahaba atatiwa tu hata awe mama wa nyumbani
Ukioa mwanamke smart atakuwa smart tu hata afanye kazi kwenye mazingira gani.
Shida yenu wenyewe malaya na mmeoa malaya halafu mnasingizia kazi
Tuanzie hapa.Nn kifanyike labda kutatua tatizo?
Anza mkuuTuanzie hapa.
Ovyo kabisaaa 🤑Ila wanawake maofisininraha sana sii ndio kama hivyo wanatusambazia utelezi
Ata nyie wana2ake ma ofisini mnafurahi....sii mnasambaziwa ndalamanna maboss wenu. Win win situation hiyo.Ovyo kabisaaa 🤑
Ukweli mchungu, acha tuamke tukalijenge taifaUkweli ni kwamba:
Mwanamke wako kuna mwanaume sehemu yake ya kazi (kazini) anamuheshimu sana na kumtii kuliko wewe.