Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Wake za watu wanashindana kupendeza wawavutie wafanyakazi wa kiume kazini. Na hii siku ya J3 huwa wanaipania sanaMkeo ana hamu kesho ifike, kama hauamini angalia anavyojiandaa na siku ya kesho. Kuanzia nguo, viatu, marashi na vito.
😅😅😅Ijumaa, mke wako anarudi kwenu.
Sasa tusemeje, ukweli mchungu. Huwezi kujisifu kuwa my wife is loyal wakati kabla yako alilowekwq na 5+ men.Mwanamke smart ana sifa gani?
Ukweli ni kwamba ukishaoa mwanamke asiye bikira huyo tayari ni kahaba
Waume za watu je, hawaliwi?Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6
Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.
Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.
Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.
Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.
Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa
Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.
Learn or Perish
Sasa tusemeje, ukweli mchungu. Huwezi kujisifu kuwa my wife is loyal wakati kabla yako alilowekwq na 5+ men.
Tuishi tu, don't stress yourself too much kwa issues za namna hii.
Hiyo kawaida tu,
mbunye Haina alama ni shimo la tewa,
sasa ukianza kufata mkeo kaenda lunch na nani we si boya tu.
bonda bonda huku nae atandikwe kule vinginevyo kataa ndoa
Waume za watu je, hawaliwi?