Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
787
Reaction score
1,394
SoMo hapo juu husika.
Kuna hizi kada
1. Ualimu prim and secondary
2. Nurse and or Dr medicine
3. Police or Jw
?

Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
 
Ni zaidi ya milioni 100, ungesema kuanzia 150 M+

1.Uhasibu ukiwa na CPA hasa kama ulikuwa unafanyia taasisi za kodi na fedha za serikali (TRA, NSSF, BOT, n.k.)

2. Civil Engineering, Mechanical Engineering na Electical Engineering kwenye taasisi kama Tanroads, Temesa, TBA, n.k.

3. Wildlife conservation - TANAPA

4. Sheria - mahakimu wa serikali

5. Lecturers wa vyuo vya serikali

6. Idara za ulinzi hasa Jw na Polisi - ukiwa na elimu kubwa ndani ya jeshi

7. Madaktari bingwa - Muhimbili na hospitali za rufaa

8. Maafis ugavi wanaohusika kununua mahitaji ya serikali na kutoa tenda
 
Ni zaidi ya milioni 100

1.Uhasibu ukiwa na CPA hasa kama ulikuwa unafanyia taasisi za kodi na fedha zasrikali (TRA, NSSF, BOT, n.k.)

2. Civil Engineering mfano Tanroads

3. Wildlife conservation - TANAPA

4. Sheria - mahakimu wa serikali

5. Lecturers wa vyuo vya serikali
Hawa je wanapata ngapi
1. Ualimu prim and secondary
2. Nurse and or Dr medicine
3. Police or Jw
 
Hawa je wanapata ngapi
1. Ualimu prim and secondary
2. Nurse and or Dr medicine
3. Police or Jw
Sijajua kwa walimu wa shule za msingi ila kwa sekondari kuna mwalimu alistaafu alipokea milioni 60, watoto wa mjini walimtapeli zote.

Tupe stry ilikuaje????
 
Sijajua kwa walimu wa shule za msingi ila kwa sekondari kuna mwalimu alistaafu alipokea milioni 60, watoto wa mjini walimtapeli zote.

How?
 
Na mwingine alitapeliwa na Nabii baada ya kwenda kuziombea
 
SoMo hapo juu husika.
Kuna hizi kada
1. Ualimu prim and secondary
2. Nurse and or Dr medicine
3. Police or Jw
?

Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
Hiyo 100M karibu wote wataipata. Karibuni kwenye utumishi wa umma
 
Milioni 80 unaitafuta kwa miaka 30 kama kiinua mgongo wakati kuna mtu mmoja anaweza kuanza kutrade crypto kwa elfu 10 kama atadumu kwa miaka 30 kwenye hiyo biashara atakuwa na faida net ya bilioni 10
 
SoMo hapo juu husika.
Kuna hizi kada
1. Ualimu prim and secondary
2. Nurse and or Dr medicine
3. Police or Jw
?

Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
Ukubwa wa lumpsum pension inategemea,:

  • Ukubwa wa mshahara wako wakati unastaafu
  • Jumla ya miezi uliofanya kazi
  • Kikokotoo kilichotumika.
 
Milioni 80 unaitafuta kwa miaka 30 kama kiinua mgongo wakati kuna mtu mmoja anaweza kuanza kutrade crypto kwa elfu 10 kama atadumu kwa miaka 30 kwenye hiyo biashara atakuwa na faida net ya bilioni 10
crypto?Nipe Elimu Mkuu
 
Sijui kama na afisa magereza wote lakini kuna yule aliyeondoka na hela ya kununua IST.
 
Milioni 80 unaitafuta kwa miaka 30 kama kiinua mgongo wakati kuna mtu mmoja anaweza kuanza kutrade crypto kwa elfu 10 kama atadumu kwa miaka 30 kwenye hiyo biashara atakuwa na faida net ya bilioni 10
Umefikishq bilioni ngapi mkuu wangu?
 
Back
Top Bottom