Mnavo angalia zile sinema mfano spider man,wolf na zengine zikiwaonesha wanadamu kuwa na mwingiliano wa viumbe ni ujumbe wanawapa mujiaandae.
Leo kuku anaweza kukuambukisha magonjwa yake au mnyama wakati sio genetic yake.
Kuna project ambazo ni za siri sana inasemekana genetic ya mwanadamu imetumika sana kutafuta kama maangamizi,kulinda,kuzibiti uwezo au kuzalisha vitu ambavyo vitaweza kuwa kama wanadamu.
Kuna project nilipata telegram ambayo kama ikiwezekana itafanya mwanadamu kuishi milele na kuzidi kumrudisha kijana .
ila mwaipopo yupo kuangalia CCM