Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

Kimasihara hii ndoo inadondokea toten..

Nawashangaa sana wanaompa barca mchekea kwa Liver... haki vile Liver anamtoa barca...!! Isingekuwa gundu la Final kwa Klopp ningebet Liver kunyanyua kwapa..!! Ajax... ni kweli wame-fight na walipofika panatosha watakalishwa vizuri kabisaa na Tote..

Tottenham anayanyua ndoo hii na kuibua mshangao wa dunia...

Wekeni kwenye record
 
Barca ndo kaaga hivyo hawawezi mziki wa Liverpool! Angalia Forward line ya Liverpool kwasasa jinsi ilivomoto! Kingine Liverpool UEFA hua ana nguvu tofauti na hasa anapocheza na timu kubwa...Nani aliamini Mabingwa ya Germany Buyern angetolewa na Liverpool tena kwakupigwa kwao? Naona Mwaka huu Liverpool akichukua makombe yote mawili
 
Tuacheni utani, Tottenham wanapiga mpira had raha, confidence kama yote, kutoboa matatu pale etihad so kazi rahsi, wanajielewa hao madogo aisee...yule dogo Sony aliyepiga mbili jana kanikosha kinyama....
 
Liverpool atachezea goli za kutosha kiasi kwamba watapoteana uwanjani!

Fainali ni Barcelona v/s Totenham Hotspurs
We jamaa hujui mpira, umekariri ile Barcelona ya akina iniesta? Barcelona hii ndo mbovu kbs ndani ya miaka hii kumi, na Liverpool hii ni bora zaid ndani ya miaka hii kumi. Save the date. Pia Kumbuka mpira ni science
 
Nyingine nyingi zilichezea kichapo Barca walifungwaga na Chelsea tu....
Walikaa Man city, Psg, Spurs, Bayern,Inter,Real madrid...nk...
Kwa hiyo Liverpool hapa bado watoto tu kwa barca
 
Jana Liver kachezewa nusu uwanja first half yote alikujafunguka mwishoni.. Bado sijaiona liver ya kumtoa barca
Liverpool siku zote ndio wapo hivyo na kushinda wanashinda rejea vs munchen liver walielemewa wakashinda tatu pia mechi na Porto kaelemewa kashinda nne
 
Nyingine nyingi zilichezea kichapo Barca walifungwaga na Chelsea tu....
Walikaa Man city, Psg, Spurs, Bayern,Inter,Real madrid...nk...
Kwa hiyo Liverpool hapa bado watoto tu kwa barca
Huyo barca alikaa kwa liver usijidai imesahau
 
Unataka kusema forward ya Liver ni bora kuliko ya barca mkuu?
 
We jamaa hujui mpira, umekariri ile Barcelona ya akina iniesta? Barcelona hii ndo mbovu kbs ndani ya miaka hii kumi, na Liverpool hii ni bora zaid ndani ya miaka hii kumi. Save the date. Pia Kumbuka mpira ni science
Yaan unalàzimisha mawazo yako ndo yakubalike mpaka unamwambia mwenzio hajui mpira
 
We jamaa hujui mpira, umekariri ile Barcelona ya akina iniesta? Barcelona hii ndo mbovu kbs ndani ya miaka hii kumi, na Liverpool hii ni bora zaid ndani ya miaka hii kumi. Save the date. Pia Kumbuka mpira ni science
Narudia tena, Liverpool itachezea magoli ya kutosha!! Itayaoga. Salah atakuwa salaaale!
 
Barcelona hawezi mtoa liverpool, fainali ni liva vs ajax.

Sikuhizi umekuwa mtabiri eee 😁😁

We are on fire kamanda, tunapiga ndani nje kama kawaida yetu....wazungu huko matumbo yanawaka moto kwa kumhofia baba yao wa soka...
 
Yani hapa ndio unazidi kuwaongezea machungu haters [emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wavimbe wapasūke na waisome namba Barca ndo bingwa wa UCL msimu huu
King Messi anachukua Bållon d' or yäke ya 6 + Golden boot ya 6 pià

Huu ndo uķwēli mchungu kwa haters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…