interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yametokea kakahata kamaa atafungwa na barca atakuja kutokea Anfield liverpool sio kama Man u mkuu
Nafkri ww sasa ndo ukacheze PS....SOKA VIDOLENI KACHEZE PLAYSTATION 5
Jaman kabla ya fainali nitakuja kumalizia ramli yangu, naona imeenda sawia kabisaUtabiri wangu Anfield liverpool 2 Barceloma 1, Nou camp Barcelona 3 Liverpool 2....
Barcelona out Liverpool In
Amsterdam Ajax 1 Tottenhan 1
White hat lane Tottenham 2 Ajax 1
Fainal Liverpool vs Tottenhamm
Nitarud tena kukamilisha ramli yangu siku ya fainali....
Yes brotherKuna kila dalili fainali ni liveroool na Totenham
We jamaa pitia k vant yakoo kwa MangiMleta uzi unajadili fainal kana kwamba barca ameshamtoa liver,Mpira haupo jinsi unavyofikiria kichwani kwako nakuhakikishia liverpool atamtoa Barcelona haijalishi kwa namna gani kwanza lazima liver apate zaidi ya goli 2 ugenini hata kamaa atafungwa na barca atakuja kutokea Anfield liverpool sio kama Man u mkuu
Nilipatia kwa Liverpool na nikapotea kwa Spurs.Totenham hawezi kimfunga Ajax.
Liverpool anaenda kufinya na kuzima movement zote za Barca katikati ya uwanja.
Messi acheze false no.9 atakutana na Fabinho mkata umeme, akivuka hapo anakutana na ukuta wa Berlin yaani VVD & Matip au VVD & Gomez.
Akienda pembeni upande wowote anakutana na wale watoto hatari Robertson na T.Anaold.
Liverpool anaenda kukata mipira yote inayoenda kwa Messi.
Naomba oia unikumbushe lini ulimuona VVD anapigwa chenga kama Boateng au tobo kama Freddy?
#COYR #YNWA
Tukutane 30 April & 7 May 2019.
For english audience:
Come April 30th & May 7th, 2019