Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Utabiri wangu Anfield liverpool 2 Barceloma 1, Nou camp Barcelona 3 Liverpool 2....

Barcelona out Liverpool In

Amsterdam Ajax 1 Tottenhan 1
White hat lane Tottenham 2 Ajax 1

Fainal Liverpool vs Tottenhamm


Nitarud tena kukamilisha ramli yangu siku ya fainali....
Jaman kabla ya fainali nitakuja kumalizia ramli yangu, naona imeenda sawia kabisa
 
Mleta uzi unajadili fainal kana kwamba barca ameshamtoa liver,Mpira haupo jinsi unavyofikiria kichwani kwako nakuhakikishia liverpool atamtoa Barcelona haijalishi kwa namna gani kwanza lazima liver apate zaidi ya goli 2 ugenini hata kamaa atafungwa na barca atakuja kutokea Anfield liverpool sio kama Man u mkuu
We jamaa pitia k vant yakoo kwa Mangi
 
Totenham hawezi kimfunga Ajax.
Liverpool anaenda kufinya na kuzima movement zote za Barca katikati ya uwanja.

Messi acheze false no.9 atakutana na Fabinho mkata umeme, akivuka hapo anakutana na ukuta wa Berlin yaani VVD & Matip au VVD & Gomez.

Akienda pembeni upande wowote anakutana na wale watoto hatari Robertson na T.Anaold.

Liverpool anaenda kukata mipira yote inayoenda kwa Messi.

Naomba oia unikumbushe lini ulimuona VVD anapigwa chenga kama Boateng au tobo kama Freddy?

#COYR #YNWA

Tukutane 30 April & 7 May 2019.

For english audience:

Come April 30th & May 7th, 2019
Nilipatia kwa Liverpool na nikapotea kwa Spurs.
 
Back
Top Bottom