Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

Liver hauwezi mziki wa Spain keshachezea kichapo toka kwa sevilla Final Europa akaja kutolewa fainal uefa na Real Madrid... Eti Leo aje amtoe Baba lao Barca? Aaah masihara hayo..
 
Hahahaha hao vifaranga ndyio wamkabe Messi?
 
Na nguvu yake mwaka Jana alifanya nn?
 
Humu ndani watu wanaongea kishabiki, walitabiri Juve kubeba hii ndoo ila leo wapo kimya.

Barca sio mtu wa kumchukulia mwepesi tena kwa timu za epl, Nou Camp Liver atakufa si chini ya 3.

Liverpool hii ni timu ndogo mno kwa Barca.
Kama espanyol tu
 
SOKA VIDOLENI KACHEZE PLAYSTATION 5
 
Liver 3 - 0 Barca
 
Endelea kuiona hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…