Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

sawa!!
 
Umeionea mbagala au wapi mkuu?labda vingunguti
 
Humu ndani watu wanaongea kishabiki, walitabiri Juve kubeba hii ndoo ila leo wapo kimya.

Barca sio mtu wa kumchukulia mwepesi tena kwa timu za epl, Nou Camp Liver atakufa si chini ya 3.

Liverpool hii ni timu ndogo mno kwa Barca.

Tumekusikia mzee baba
Messi atarudisha champions league crown Barcelona
 
Sasa hv unaiona wapi? Kwenye Fainali ya 2019/2020? Au?
 
Hata mm naona.
 
Mambo?
 
NAMSALIMIA TU ANDUNJE MWENZENU "BLACKPANTHER" MAANA ANA MAHABA SANA KWA MESSI KULIKO HATA MUNGU NA WAZAZI WAKE[emoji113][emoji87]
 
πŸ‘†πŸ”¨πŸ”Š
 
Bila shaka uko hospital kwa matibabu ya tatizo la heartattack!

Mpira hudunda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…