johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Cecil Mwambe na David Silinde kwa sasa ni wabunge wa CCM japokuwa Wananchi waliwachagua kupitia Chadema.
Kadhalika Joseph Selasini na Anthony Komu kwa sasa ni wabunge wa NCCR Mageuzi japokuwa Wananchi waliwachagua kupitia Chadema
Na Wilfred Lwakatare na Sabrina Sungura kwa sasa ni wabunge wa CUF japokuwa wananchi waliwachagua kupitia Chadema.
Ni wakati sasa Mwanasheria Mkuu wa Serikali akaitangaza sheria hii katika gazeti la serikali.
Maendeleo hayana vyama!