johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Akikujibu uni tagNa hiyo ibafanyika upande mmoja tuu...
Mbona Nyalandu alipohama CCM na kwenda Chadema, akivuliwa ubunge wake papo kwa papo!
Ndugai anaacha historia ya Spika mbovu, wa hovyo, mjinga... kuwahi kutokea kwenye bunge letu.
UPI?Mkuu, umetumia kipimo kipi? Mbona Wabunge nasikia wamepeleka hoja ya kumpongeza kwa kuonyesha UONGOZI ULIOTUKUKA?
UDHAIFU WA SPIKACecil Mwambe na David Silinde kwa sasa ni wabunge wa CCM japokuwa wananchi waliwachagua kupitia Chadema.
Kadhalika Joseph Selasini na Anthony Komu kwa sasa ni wabunge wa NCCR Mageuzi japokuwa wananchi waliwachagua kupitia Chadema
Na Wilfred Lwakatare na Sabrina Sungura kwa sasa ni wabunge wa CUF japokuwa wananchi waliwachagua kupitia Chadema.
Ni wakati sasa mwanasheria mkuu wa serikali akaitangaza sheria hii katika gazeti la serikali.
Maendeleo hayana vyama!
Haina shida hiyo maana ni taifa la wajinga na mang'ombeCecil Mwambe na David Silinde kwa sasa ni wabunge wa CCM japokuwa wananchi waliwachagua kupitia Chadema.