Ni kama sheria ya Mbunge kuhama chama na Ubunge wake imeshabarikiwa na bunge mfano Mwambe na Silinde!

Hewezi kujua coz masikio na macho umekanyagia sidhan kama bunge linaweza kufanya nothing kwa miaka mitano๐Ÿ˜
 
Yes; hili ndio bunge la hovyo kuwahi kutokea, yani mbunge anatoka upande wa CDM anaenda upande wa CCM halafu maisha yanaendelea tu!.

Ndugai anaacha historia ya Spika mbovu, wa hovyo, mjinga... kuwahi kutokea kwenye bunge letu.
Yeye na wanaomtuma na kumuunga mkono ni wahalifu mbele ya sheria ila hakuna anayediriki kukemea.Mtindo ni wa kuiua CDM bila kujali kivipi. Aibu hii tutaipeleka wapi?

Kama CCM imeshindwa kuongoza nchi waondoke kwa Amani kabla hasira za Watanzania haijawaka.
 
Ubunge haukomi kwa maneno tu ya mdomoni. Kuna taratibu lazima zifuatwe. Spika apewe formal written letter. Na Nec pia lazima wapewe.sio masuala ya kutamka kwa mdomo tu kama Chadema mlivyokopeshwa deni hewa na jitu lisilojulikana.
 
Katiba iko wazi ibara ya 71 (1) (f) ukipoteza uanachama wa chama ulichokuwemo wakati unapata ubunge basi ubunge wako unakoma moja kwa moja.
 
mbambo kama haya ndio yanapelekea kutungwa sheria ya kutomshtaki Spika.sheria nyingi sana zimevunjwa awamu hii
 
Ubunge haukomi kwa maneno tu ya mdomoni. Kuna taratibu lazima zifuatwe. Spika apewe formal written letter. Na Nec pia lazima wapewe.sio masuala ya kutamka kwa mdomo tu kama Chadema mlivyokopeshwa deni hewa na jitu lisilojulikana.
Mkuu, umesahau kuwa katibu wa CHADEMA alimwandikia barua spika kuwa Cecil Mwambe, amewakimhia, hivyo sio mwanachama wao tena?
Na wewe haukuona/kusoma wakati akipokelewa CCM na katibu mkuu wa o?
Nawaza kuwa, hakupewa fedha za USAJIRI. Hiyo timu kwa vile ina uwezo wa kufanya chochote, imeamua KUMLIPA fedha za makubaliano, kwa njia hiyo HARAMU!
 
Nafikiri hujaelewa ninacho sema. Mtu anaweza akatamka kuwa amehama mbele ya kadamnasi na akapewa kadi. Lakini Nec na bunge wakawa hawana official infornation. Barua ya Mwambe imeendikwa lini?
 
Yes; hili ndio bunge la hovyo kuwahi kutokea, yani mbunge anatoka upande wa CDM anaenda upande wa CCM halafu maisha yanaendelea tu!.

Ndugai anaacha historia ya Spika mbovu, wa hovyo, mjinga... kuwahi kutokea kwenye bunge letu.
Na sasa wamepitisha sheria spika hatashitakiwa pamoja na watu wa mahakama. Huu ushenzi ndio utatumika kuviua vyama vya upinzani au kuvidhoofisha.
 
Huyo kesha pofuka.
 
Ikitokea Mbunge wa CCM akahamia CDM nadhani itakuwa batili tena.๐Ÿ˜๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ž!

Nchi ikiwa na upinzani "nyoronyoro" ni raha sana kwa watawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ