Ni kama Timu kubwa zinatafutiwa ushindi kwa udi na uvumba

Ni kama Timu kubwa zinatafutiwa ushindi kwa udi na uvumba

Mpira bado unaendelea, inawezekana Namungo akashinda pamoja na kucheza pungufu.
 
Lazima washinde😂😂😂

Pata Pata Pata Utajiri

Kama utani wa Jadi ni mzuri ngoja nikutanie "wewe ni mvamizi wa viwanja"😂😂😂

Watoto wa kishua naomba kazi ya "Uhouse BOY"
 
Hizi timu kubwa ndizo zinazoleta heshima kwa nchi na ndio zinapandisha hadhi ya ligi kuu mpaka wachezaji wa nje huja kwa wingi kucheza katika timu hizi kubwa. Hizi timu ndio hufika hatua za juu kuliko hizo zingine ambazo hutolewa mapema katika hatua za awali. Kuliko hizo timu zingine ziende kimataifa halafu ziishie hatua za mwanzo bora timu kubwe ziende kwani hufika hatua za juu
 
Back
Top Bottom