Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hiki ndicho kitu ambacho hata mimi natamani kukiona kwenye mpira wetu wa miguu. Mwamuzi kama huyu wa leo anatakiwa kulaaniwa na wapenda michezo wote, pasipo kuangalia ushabiki!Pamoja na kutaka ushindi lakini tunataka ushindi wa haki
Kiufupi amewaonea sana Namungo kupitia maamuzi yake ya kutatananisha.