Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Refa anaechezesha mechi hiyo alibeti kwamba lazima kutakua na kadi nyekundu dk45 za kwanza na akawa ameweka 1m,Kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo hata haieleweki.
Aliyeielewa anisaidie
nadhani alikua anafanikisha mkeka wake
