Ni kama Timu kubwa zinatafutiwa ushindi kwa udi na uvumba

Kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo hata haieleweki.

Aliyeielewa anisaidie
Refa anaechezesha mechi hiyo alibeti kwamba lazima kutakua na kadi nyekundu dk45 za kwanza na akawa ameweka 1m,

nadhani alikua anafanikisha mkeka wake
 
Kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo hata haieleweki.

Aliyeielewa anisaidie
Ndugu yangu kwasasa achana na habari za kulalamika ligi yetu ndio hii hii na waswahili wa Pemba ujuana kwa vilemba,,kwa maana iyo Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote cha muhimu atutaki malalamiko!
 
Mimi sichangii chochote kuhusu faulo wala penati mpaka nipate ufafanuzi Ile red card imesababishwa na kosa Gani??
 
Kuna vitendo vya ajabu kwny ligi hii
 
Nimeandika posts nyingi sana kuielezea hii ligi.....

Mwishowe nimechoka.
Wacha waiharibu kwa own cost zao wenyewe..maanake hatahivyo wanufaika ni wao, na ligi ikijifia gharama ni zao pia
 
Kwa mtu mwenye akili timamu na anajua nidhamu ya soka,na tabia walizoonesha namungo kadi zilitarajiwa muda wowote.
 
Kuna vitendo vya ajabu kwny ligi hii
Vina baraka za wasimamizi wa futiboli.
Maana haiwezekani watu wakilalamika wanaitwa kwenye kamati ya maadili kwanini wanafedhehesha futiboli letu (ni sawa na wapigania haki kuitwa magaidi na hao wanaowadhulumu), na malalamiko yote haya TAKUKURU kimya hawajiongezi mpaka wapelekewe malalamiko.
Ni kama wale wanasema hatufanyi kazi kupitia (mitandao ya kijamii) vyonbo vya habari lakini kwa baadhi ya mambo wanafanya kupitia hiyo hiyo (mitandao ya kijamii) vyombo vya habari na saa nyengine kusingizia "intelijensia yetu imebaini bla bla ....".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…