Hiki ndicho kitu ambacho hata mimi natamani kukiona kwenye mpira wetu wa miguu. Mwamuzi kama huyu wa leo anatakiwa kulaaniwa na wapenda michezo wote, pasipo kuangalia ushabiki!
Kiufupi amewaonea sana Namungo kupitia maamuzi yake ya kutatananisha.

Hiyo mechi sikuiangalia. Ila kama ni kweli hilo tukio lilitokea, na mwamuzi akaliona! Na bado akalikubali hilo goli! Na yeye atakuwa kwenye kundi la mwamuzi wa jana. Hafai kuchezesha mpira wa miguu.