Ni kama vile Spika Ndugai anakaimu na nafasi ya KUB, maana siyo kwa ukosoaji huu anaoufanya bungeni

Ccm wamekubaliana kuigizakuibana Serikali ipasavyo ili ifikapo 2025 walete hoja kuwa gata bila Upinzani bunge bado liliendelea kuibana Serikali
 
Upuuzi mtupu. Hivyo vikao vya chama Dodoma, ni kama vikao vya walevi kwenye vilabu vya pombe za kienyeji. Wanapokunywa, lazima watabishana na kusifiana, lakini ukweli ni kuwa wote ni walevi.
 
Ccm wamekubaliana kuigizakuibana Serikali ipasavyo ili ifikapo 2025 walete hoja kuwa gata bila Upinzani bunge bado liliendelea kuibana Serikali

Wananchi na sisi tumeshaamka muda mrefu tunawachora tu maana tunajua ni bunge kibogoyo.
 
Ndungai hana cha kupoteza. Alijipendekeza 2015-2020 ili asikatwe. Na anastaafu 2025 kwahiyo anahakikisha anastaafu vizuri. Ndani ya CCM hakuna anayemwelewa Jiwe. Ngoja ifike 2024 ndiyo atawajua wana CCM
Ni mimi na @hpolepole tu
 
Anamuenzi Swahiba wake Mzee Mbowee
 
Ndungai hana cha kupoteza. Alijipendekeza 2015-2020 ili asikatwe. Na anastaafu 2025 kwahiyo anahakikisha anastaafu vizuri. Ndani ya CCM hakuna anayemwelewa Jiwe. Ngoja ifike 2024 ndiyo atawajua wana CCM
Si mnasema wanampango wa kumuongezea muda?
 
Hilo Pengo la KUB halizibiki CCM acheni unafiki na kujifariji
 
Ndugai ni dhaifu anakosoa sababu anatarajia kustaafu 2025 na usikute kaona hata hiyo 2025 hatofika

Anajitekenya kisha anacheka mwenyewe
 
Usimwamini sana Ndugai
 
Ulikua unataka kusema nini.
Kua hayo ndio matunda ya nchi ya chama kimoja ?!
Au ndio tumefika tayari kule wapinzani walipotuchelewesha?!

Akili za MaCCM hovyo kabisa, kujitekenya na kucheka mwenyewe ni uandawazimu BWASHEE. Wenye akili wanawazarau mno.
 
Kwa ugonjwa huo lazima awe KUB wa ccm
 
Maji mtaita mma mwaka huu na uchaguzi ujao mkome kuiba kura.
 
Hivi unajua kuwa konokono Wana jinsi zote za uzazi yaani ya kiume na ya kike? Hivyo kwenye kujamiiana anayewahiwa ndio hugeuka jike na hutaga!
Kwa tafakari hiyo ya kushangaza wewe na huyo unayemsifu kijuha mnakosaje sifa za konokono?
Wewe na yeye mlishadadia na kuwafanyia vitimbi wabunge wa upinzani Hadi kuwaibia ushindi wao na huenda lengo lake ni kujifanya kazi ya KUB huku ya kwake ikimshinda!
Ajibainishe Basi na kuishauri hiyo serikali kwa hayo anayoona hayapo sawa badala ya kubeep na kusubiri kupigiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…