johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Mtu kama Tundu Lisu asingeweza uko sahihi meku!Mtaongea lugha zote unafikiri kila mtu anaweza kuongoza nchi kwa weledi ? .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kama Tundu Lisu asingeweza uko sahihi meku!Mtaongea lugha zote unafikiri kila mtu anaweza kuongoza nchi kwa weledi ? .
Kimsomeshe yeye kwani ni Polepole?Ndio chama kilichokusomesha!
Ccm wamekubaliana kuigizakuibana Serikali ipasavyo ili ifikapo 2025 walete hoja kuwa gata bila Upinzani bunge bado liliendelea kuibana Serikali
Ni mimi na @hpolepole tuNdungai hana cha kupoteza. Alijipendekeza 2015-2020 ili asikatwe. Na anastaafu 2025 kwahiyo anahakikisha anastaafu vizuri. Ndani ya CCM hakuna anayemwelewa Jiwe. Ngoja ifike 2024 ndiyo atawajua wana CCM
Tofautisha kuskiaskia taarifa na kufuatilia... Ninyi ndomnafanya kijani ionekane rangi yamazwa...Lakini wewe unafuatilia!
Si mnasema wanampango wa kumuongezea muda?Ndungai hana cha kupoteza. Alijipendekeza 2015-2020 ili asikatwe. Na anastaafu 2025 kwahiyo anahakikisha anastaafu vizuri. Ndani ya CCM hakuna anayemwelewa Jiwe. Ngoja ifike 2024 ndiyo atawajua wana CCM
Hilo Pengo la KUB halizibiki CCM acheni unafiki na kujifarijiBinafsi nimeridhishwa sana na utendaji wa Spika Ndugai katika mkutano wa bunge unaofungwa leo.
Ndugai ameweza kuikosoa serikali katika baadhi ya mambo yakiwemo ajira kwa vijana, riba kubwa kwenye mikopo ya elimu ya juu, SUA kuacha majukumu yake ya msingi na kuanza kufundisha walimu wa sekondari na hata kuwakemea " kimtindo" wabunge wanaopiga makofi kama walevi bungeni.
Pamoja na kwamba bunge hili halina KUB japo wabunge wa upinzani wamo kiukweli Ndugai ameziba pengo la KUB.
Maendeleo hayana vyama!
Usimwamini sana NdugaiKwani hiyo sheria ya Bodi ya Mikopo ya kukata asilimia 15 wakati inapitishwa yeye si ndio aliongoza wabunge wa CCM kuipitisha kwa kura ya ndiooooo.
Hata CAG alieshauri hiyo sheria ni mbovu si walimuondoa kwa mizengwe badala ya kufanyia kazi ushauri aliokuwa anawapa juu ya mambo mbalimbali.
Kwa ugonjwa huo lazima awe KUB wa ccmBinafsi nimeridhishwa sana na utendaji wa Spika Ndugai katika mkutano wa bunge unaofungwa leo.
Ndugai ameweza kuikosoa serikali katika baadhi ya mambo yakiwemo ajira kwa vijana, riba kubwa kwenye mikopo ya elimu ya juu, SUA kuacha majukumu yake ya msingi na kuanza kufundisha walimu wa sekondari na hata kuwakemea " kimtindo" wabunge wanaopiga makofi kama walevi bungeni.
Pamoja na kwamba bunge hili halina KUB japo wabunge wa upinzani wamo kiukweli Ndugai ameziba pengo la KUB.
Maendeleo hayana vyama!
Maji mtaita mma mwaka huu na uchaguzi ujao mkome kuiba kura.Binafsi nimeridhishwa sana na utendaji wa Spika Ndugai katika mkutano wa bunge unaofungwa leo.
Ndugai ameweza kuikosoa serikali katika baadhi ya mambo yakiwemo ajira kwa vijana, riba kubwa kwenye mikopo ya elimu ya juu, SUA kuacha majukumu yake ya msingi na kuanza kufundisha walimu wa sekondari na hata kuwakemea " kimtindo" wabunge wanaopiga makofi kama walevi bungeni.
Pamoja na kwamba bunge hili halina KUB japo wabunge wa upinzani wamo kiukweli Ndugai ameziba pengo la KUB.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi unajua kuwa konokono Wana jinsi zote za uzazi yaani ya kiume na ya kike? Hivyo kwenye kujamiiana anayewahiwa ndio hugeuka jike na hutaga!Binafsi nimeridhishwa sana na utendaji wa Spika Ndugai katika mkutano wa bunge unaofungwa leo.