PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia, hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual, Haki na Amani lazima viende pamoja. Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI. Ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Je, kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting? Huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu? Changamoto ni elimu Dunia au?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao, Catholic Institution walilaani; Bakwata ilikaa kimya! Shida ni nini Mashekhe wangu?

Sijaona hata official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima. Hebu tupeni Tauwil mashekhe, mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua, wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu. Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho, kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi, Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako. Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured. Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind, pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu. Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time. Ni UCHAGUZI BATILI.

Kuna attitude nime observe kwa muslims na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu
Alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
 
Kwani hawa masheikh wanawashwa washwa nini jamani !? Hawa ndio wanao chochea vurugu za kidini, Aliye ambiwa kuhusu kuachiwa lissu ni serikali wala sio waislam wala sio masheikh ,kwa hiyo anaye takiwa kujibu ni serikali sio hizi takataka mbwambwa hizi zinazo leta udini,sasa hawa wapuuzi kobazi wanajibu wao kama kina nani? Udini na akili ndogo vinawasumbua sana hawa wajinga.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Tatizo lenu mna dhana ya udini vichwa JPM alipewa maonyo mengi tu wakati wake tena mengi sasa kwa kuwa mna udini mwingi mnajifanya hamkumbuki, na JPM hakuwa na rafu kama alizo nazo huyu mama na polisi huyu kavunja rekodi aisee.
 
Kuna attitude nime observe kwa muslims na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu

Alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Mimi ni Muislamu lakini kwa kweli nawaunga mkono maaskofu wanapokemea uovu na kutaka haki iwepo kwenye taifa letu. Pia nami nashangazwa sana na masheikh wetu wanapotetea serikali na kupinga matamko ya kupinga uovu
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Dogo utakuwa wa miaka ya 2000s kuja juu. Ungekuwepo miaka ya nyuma hata kipindi cha Magufuli ungejua TEC washawahi pishana na Magufuli. Ungejua kuna wachungaji na mapadre walichunguzwa hadi Uraia wao. Kuwa yawezekana si raia. Wakristo huwa hawana unafiq. Watakuwepo wachache wapuuzi kila sehemu wapo
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu

Alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Muslim is not a religion is an organization with its own agenda! Christianity is an organized system which controls and manage the world system it does not matter how!

No government in the world mess with Christianity systems!

For that case Samia and her mobs are not safe right now! Attacking TEC secretary was a big mistake to attempt to do.
 
Kwani hawa masheikh wanawashwa washwa nini jamani !? Hawa ndio wanao chochea vurugu za kidini, Aliye ambiwa kuhusu kuachiwa lissu ni serikali wala sio waislam wala sio masheikh ,kwa hiyo anaye takiwa kujibu ni serikali sio hizi takataka ubwaubwa ,sasa hawa wapuuzi kobazi wanajibu wao kama kina nani? Udini na akili ndogo vinawasumbua sana hawa wajinga.
Ni ajabu snana. Haki ya usawa inaelekezwa kwa Serikali , ajabu Respondent ni MASHEKHE …. Very Much confusing
 
Umezaliwq lini? Au umeanza kufuatilia lini ishu za TEC na Maaskofu?
Dogo utakuwa wa miaka ya 2000s kuja juu. Ungekuwepo miaka ya nyuma hata kipindi cha Magufuli ungejua TEC washawahi pishana na Magufuli. Ungejua kuna wachungaji na mapadre walichunguzwa hadi Uraia wao. Kuwa yawezekana si raia. Wakristo huwa hawana unafiq. Watakuwepo wachache wapuuzi kila sehemu wapo
Hiyo dogo MJINGA na atakuwa kaanza kufuatilia mwenendo siasa mika hii ya samia ndio maana haelewi chochote akili kama za masjeikh wao vilaza hao
 
Muslim is not a religion is an organization with its own agenda! Christianity is an organized system which controls and manage the world system it does not matter how!

No government in the world mess with Christianity systems!

For that case Samia and her mobs are not safe right now! Attacking TEC secretary was a big mistake to attempt to do.
Roger that ,
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
He knew how to play a good game! He was in church every Sunday, he had good things to defend himself… but he had support from the people.

Samia has no support from the people…. The reason CCM is spending thousands of millions to so called Chawa and stupid events to keep her name on air.
 
Muslim is not a religion is an organization with its own agenda! Christianity is an organized system which controls and manage the world system it does not matter how!

No government in the world mess with Christianity systems!

For that case Samia and her mobs are not safe right now! Attacking TEC secretary was a big mistake to attempt to do.
Wale pro chawa wakusema unatukuza ukristo. Ulichokiweka katika aya ya kwanza ndicho uhalisia wenyewe.
 
Back
Top Bottom