PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu salama? Usitak
e kuuhisishwa ushenzi,upumbavu na ujinga wa bakwata kwamba waislamu wote tupo hivyo aisee sisi wengine ni waislamu ila sio bakwata na bakwata ni Ccm B
BAKWATA si ndo viongozi wenu..kwahiyo nyote mnaonekana akili hamna.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Utakuwa umesahau! Maaskofu waliisema serikali ya Magufuri mpaka wengine wakanyanganywa pasiport na wengine kutuhumiwa uraia wao.
 
Wapi hapo pamesemwa hatumtaki rais?
Saa hii wantamka hata bila woga hatumtaki kana kwamba amejiweka pale

Yaani nyinyi mtetee dini yenu ila wengine waguate tu, mbula
Sasa ni jino kwa jino
Kwani TEC wamesema hawamtaki Raisi..!?..Ndo maana tunaposema BAKWATA hawana akili..unadhibitisha Hilo kwa upumbavu wako uliondika.
 
ripoti huwa zinasema bakwata ni tawi lao
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Maaskofu wako walipowekwa masheikh ndani kwa kesi za kubumba za ugaidi waliwahi kukemea?
Au maaskofu ni special sana?
Waislamu waliouliwa na MKAPA pale Mwembechai 1998 Pengo funga kazi alisapoti hasa akasema waislamu walikua wanarusha kwa polisi na jiwe linaseza kuuza kama kesi ya Daudi na Golia.. Umesahau au ulikua hujazaliwa?

Waislamu wa Pemva jee 2001 MKAPA huyo huyo
Sheikh Ponda huyo huyo unaeamini ni smart kule masheikh wore kwa kutetea haki, alikula shaba kule Morogoro watetezi wa haki mlipaza sauti?
Mwenzenu huyu mjue au dini yake ni kikwazo?
 
Utakuwa umesahau! Mapadre waliisema serikali ya Magufuri mpaka wengine wakanyanganywa pasiport na wengine kutuhumiwa uraia wao.
Wapi walimwambia magu hatukutaki? Au wapi waligomea kula? Ila sasa mnataka au mpo tayari hata kuuwa ili tu samia ambaye ni muislam asitawale

Magu alisemwa sawa lakini hakuna aliyethubutu kufanya siasa kipindi chake kwa kuwa no mwenzenu mliufyata ila sasa kila baya mnatamka
Hakuna zaidi ya udini tu
 
Mama angu mdogo Muislamu, wadogo zangu baadhi Waislamu, Rafiki yangu wa tangu utotoni Muislamu.

Kesho tuchukue mapanga tufyekane, kama sio umazafaka ni nini?

Kuna vita zinaweza kutokea hapa nchini ila ya kidini nakataa. Kuna familia hapa mtoto wa kwanza mkristo wa pili muislamu.
Bwashee hamna vita ya kidini itatokea..shida ni wahuni wachache sasa hivi wanataka kutumia kichaka Cha Dini kutafuta sympathy na kuficha ujinga/upuuzi wao..
 
Kwani TEC wamesema hawamtaki Raisi..!?..Ndo maana tunaposema BAKWATA hawana akili..unadhibitisha Hilo kwa upumbavu wako uliondika.
Mpumbavu ni wewe usieelewa ajili ya kukumbatia udini, hata mie naweza kusema wakatoliki waote ni wapbavu kwani si mdomo tu, halafu saa hii tumewashtukia na hiyo bakwata yenu hakuna muislam sahihi anaitaka hiyo taasisi yenu,

Kwa taarifa yako sasa hivi waislamu wameshtuka na tutakula nanyi sahani moja mpaka akili ziwakae sawa

Enzi zimeisha bwashee
 
Mbwa wewe nani yupo chini ya
Bakwata mpuuzi weee?
Waislam nyote mpo chini ya BAKWATA na ndo maana kwenye sherehe za kitaifa wanaalikwa kuomba Dua kwa niaba yenu waislamu, ndo wanatangaza Sherehe za Iddi kitaifa na mnazifata...mkuu hujui ata viongozi wako wa kidini ni akina nani.!?..
 
Bwashee hamna vita ya kidini itatokea..shida ni wahuni wachache sasa hivi wanataka kutumia kichaka Cha Dini kutafuta sympathy na kuficha ujinga/upuuzi wao..
Woga tu unawasumbua, hapa kwa hali ilipofikia vita haiko mbali,
Kama mumezoea kuchezea bakwata basi sasa waislamu originally ndio wapo mstari wa mbele kutetea dini yao
Kila ujinga na upumbavu wenu tutaujibu na kuupinga kwa nguvu zote hata ikibidi na ibidi tu
 
Mpuuzi wewe Mimi sipo bakwata
Waislam nyote mpo chini ya BAKWATA na ndo maana kwenye sherehe za kitaifa wanaalikwa kuomba Dua kwa niaba yenu waislamu, ndo wanatangaza Sherehe za Iddi kitaifa na mnazifata...mkuu hujui ata viongozi wako wa kidini ni akina nani.!?..
aisee
 
Mpumbavu ni wewe usieelewa ajili ya kukumbatia udini, hata mie naweza kusema wakatoliki waote ni wapbavu kwani si mdomo tu, halafu saa hii tumewashtukia na hiyo bakwata yenu hakuna muislam sahihi anaitaka hiyo taasisi yenu,

Kwa taarifa yako sasa hivi waislamu wameshtuka na tutakula nanyi sahani moja mpaka akili ziwakae sawa

Enzi zimeisha bwashee
Acha ujinga mbona sherehe za Idd huwa mnasubria tamko la Mufti ambaye ni kiongozi wa BAKWATA..!??..BAKWATA ndo viongozi wenu mnawakataa Tena...!?
 
Woga tu unawasumbua, hapa kwa hali ilipofikia vita haiko mbali,
Kama mumezoea kuchezea bakwata basi sasa waislamu originally ndio wapo mstari wa mbele kutetea dini yao
Kila ujinga na upumbavu wenu tutaujibu na kuupinga kwa nguvu zote hata ikibidi na ibidi tu
Kwa ulicho kiandika unaprove kabisa akili huna kama Dini Yako inakufundisha kutumia violence kusolve tatizo bila kutumia akili..na njia za haki..basi acha tu tuseme hamna akili...
 
Waislam nyote mpo chini ya BAKWATA na ndo maana kwenye sherehe za kitaifa wanaalikwa kuomba Dua kwa niaba yenu waislamu, ndo wanatangaza Sherehe za Iddi kitaifa na mnazifata...mkuu hujui ata viongozi wako wa kidini ni akina nani.!?..
Kama hujui waislam wa kweli wote hawapo bakwata kwa kuwa bakwata ni taasisi ya kanisa
 
Daaa! Kama ni safari basi kwasasa taifa tuko K9 viongoz wa juu na wananchi wa chama tawala wanatakiwa kuendesha gari(taifa) kwa tahadhari wajitahid sana kufuata ama za barabarani.
Madaraka sio bora kuliko usalama wa abiria maana hata mchonga alipofika na gari maeneo kama haya ya K9 ilibidi aachie uskani nayeye akabaki abiria wa kawaida pamoja na kwamba wenzake kama akina Mobutu waliona bora kufa na gari plus na abiria.
 
Kwa ulicho kiandika unaprove kabisa akili huna kama Dini Yako inakufundisha kutumia violence kusolve tatizo bila kutumia akili..na njia za haki..basi acha tu tuseme hamna akili...
[/QUOTE}
Nyie ndio wajinga, hamna hoja mkishindwa hoja mnahamisha magoli kwa kutukana watu wajinga au hawana akili
Hio mbinu saa hii tumeishtukia na tutawatwanga kweli kweli
 
Acha ujinga mbona sherehe za Idd huwa mnasubria tamko la Mufti ambaye ni kiongozi wa BAKWATA..!??..BAKWATA ndo viongozi wenu mnawakataa Tena...!?
Umeona ujinga wako sasa, nani asubiri tamko la bakwata? Sisi tunafata tamko la makkah kama mnavyofata tamko la roma na sisi ndio tutaikomboa inchi hii

Ni suala la mda tu
 
Back
Top Bottom