PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu hao ni BAKWATA, wanapingwa na Waislamu wanaojitambua.
 
Sasa kama wachungaji wanamchukia samia unataka watu wote wamchukie... Hizo ni shida zao mama anatosha
Mimi Nampenda Mama , Ila sipendi kinachoendelea

Watu kusema kuwe na haki ni kumchukia Samia? Hii ni akili ya wapi wazeee ?

Mbona mnatafuta sympathy kwenye big issue za nchi?

Watu kudai haki za msingi ni kumchukia Samia?
 
Hata nigeria kuna mchanganyiko km Tanzania ila wanavita vya kidini wanachinjana


Kuna ukanda wa majority islamic na ukanda wa majority christianity
 
Shekhe ubwabwa huyu
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
 
Mkuu salama? Usitak e kuuhisishwa ushenzi,upumbavu na ujinga wa bakwata kwamba waislamu wote tupo hivyo aisee sisi wengine ni waislamu ila sio bakwata na bakwata ni Ccm B
 
Shida mashehe wanapenda ligi za kitoto sana.
 
Halafu dini zenyewe zilikuja kutumezesha

Kati ya Dini na binadamu nitachagua binadamu mwenzangu na kutupa dini

I will never accept dini over humanity
 
Hawa masheikh wanakoherehere sana waraka usomwe kwa serikali halafu kujibu waje kujibu masheikh darasa la pili utadhani wao ndio walio somewa huo waraka
Kuna fact ukiwaeleza hawa wanaona kama unawatukana lakini ndio hali halisi ilivyo.
Elimu nimuhimu sana kwa binadamu kufahamu angalau anacho kataa na anacho kubali.
 
Mkuu salama? Usitak
e kuuhisishwa ushenzi,upumbavu na ujinga wa bakwata kwamba waislamu wote tupo hivyo aisee sisi wengine ni waislamu ila sio bakwata na bakwata ni Ccm B
Sahihi Maalim. Allah akupe Tawfiq
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Nimeeleza haya vizuri tu lakini pia uzi umefutwa leo hii, hata hawa jamii africa nao ni wadini

Tuone huu kama utafutwa
 
Hakuna vita. Huo ujinga wanaongea hao wanaotumwa na Viongozi wa CCM ili kuhamisha mijadala kwenye mambo mazito.

Huwezi kumkuta Sheikh Ponda akiongea upuuzi kama anaozungumza huyo Sheikh
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…