mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Wapi hapo pamesemwa hatumtaki rais?
BAKWATA si ndo viongozi wenu..kwahiyo nyote mnaonekana akili hamna.Mkuu salama? Usitak
e kuuhisishwa ushenzi,upumbavu na ujinga wa bakwata kwamba waislamu wote tupo hivyo aisee sisi wengine ni waislamu ila sio bakwata na bakwata ni Ccm B
Utakuwa umesahau! Maaskofu waliisema serikali ya Magufuri mpaka wengine wakanyanganywa pasiport na wengine kutuhumiwa uraia wao.Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Kwani TEC wamesema hawamtaki Raisi..!?..Ndo maana tunaposema BAKWATA hawana akili..unadhibitisha Hilo kwa upumbavu wako uliondika.Wapi hapo pamesemwa hatumtaki rais?
Saa hii wantamka hata bila woga hatumtaki kana kwamba amejiweka pale
Yaani nyinyi mtetee dini yenu ila wengine waguate tu, mbula
Sasa ni jino kwa jino
Maaskofu wako walipowekwa masheikh ndani kwa kesi za kubumba za ugaidi waliwahi kukemea?Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.
Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.
Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.
Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?
Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?
Changamoto ni elimu Dunia au ?
In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?
Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?
Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.
Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.
Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.
Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI
Wapi walimwambia magu hatukutaki? Au wapi waligomea kula? Ila sasa mnataka au mpo tayari hata kuuwa ili tu samia ambaye ni muislam asitawaleUtakuwa umesahau! Mapadre waliisema serikali ya Magufuri mpaka wengine wakanyanganywa pasiport na wengine kutuhumiwa uraia wao.
Bakwata mpuuzi weee?BAKWATA si ndo viongozi wenu..kwahiyo nyote mnaonekana akili hamna.
Bwashee hamna vita ya kidini itatokea..shida ni wahuni wachache sasa hivi wanataka kutumia kichaka Cha Dini kutafuta sympathy na kuficha ujinga/upuuzi wao..Mama angu mdogo Muislamu, wadogo zangu baadhi Waislamu, Rafiki yangu wa tangu utotoni Muislamu.
Kesho tuchukue mapanga tufyekane, kama sio umazafaka ni nini?
Kuna vita zinaweza kutokea hapa nchini ila ya kidini nakataa. Kuna familia hapa mtoto wa kwanza mkristo wa pili muislamu.
Mpumbavu ni wewe usieelewa ajili ya kukumbatia udini, hata mie naweza kusema wakatoliki waote ni wapbavu kwani si mdomo tu, halafu saa hii tumewashtukia na hiyo bakwata yenu hakuna muislam sahihi anaitaka hiyo taasisi yenu,Kwani TEC wamesema hawamtaki Raisi..!?..Ndo maana tunaposema BAKWATA hawana akili..unadhibitisha Hilo kwa upumbavu wako uliondika.
Waislam nyote mpo chini ya BAKWATA na ndo maana kwenye sherehe za kitaifa wanaalikwa kuomba Dua kwa niaba yenu waislamu, ndo wanatangaza Sherehe za Iddi kitaifa na mnazifata...mkuu hujui ata viongozi wako wa kidini ni akina nani.!?..Mbwa wewe nani yupo chini ya
Bakwata mpuuzi weee?
Woga tu unawasumbua, hapa kwa hali ilipofikia vita haiko mbali,Bwashee hamna vita ya kidini itatokea..shida ni wahuni wachache sasa hivi wanataka kutumia kichaka Cha Dini kutafuta sympathy na kuficha ujinga/upuuzi wao..
aiseeWaislam nyote mpo chini ya BAKWATA na ndo maana kwenye sherehe za kitaifa wanaalikwa kuomba Dua kwa niaba yenu waislamu, ndo wanatangaza Sherehe za Iddi kitaifa na mnazifata...mkuu hujui ata viongozi wako wa kidini ni akina nani.!?..
Acha ujinga mbona sherehe za Idd huwa mnasubria tamko la Mufti ambaye ni kiongozi wa BAKWATA..!??..BAKWATA ndo viongozi wenu mnawakataa Tena...!?Mpumbavu ni wewe usieelewa ajili ya kukumbatia udini, hata mie naweza kusema wakatoliki waote ni wapbavu kwani si mdomo tu, halafu saa hii tumewashtukia na hiyo bakwata yenu hakuna muislam sahihi anaitaka hiyo taasisi yenu,
Kwa taarifa yako sasa hivi waislamu wameshtuka na tutakula nanyi sahani moja mpaka akili ziwakae sawa
Enzi zimeisha bwashee
Sahihi Maalim. Allah akupe Tawfiq
Kwa ulicho kiandika unaprove kabisa akili huna kama Dini Yako inakufundisha kutumia violence kusolve tatizo bila kutumia akili..na njia za haki..basi acha tu tuseme hamna akili...Woga tu unawasumbua, hapa kwa hali ilipofikia vita haiko mbali,
Kama mumezoea kuchezea bakwata basi sasa waislamu originally ndio wapo mstari wa mbele kutetea dini yao
Kila ujinga na upumbavu wenu tutaujibu na kuupinga kwa nguvu zote hata ikibidi na ibidi tu
Kama hujui waislam wa kweli wote hawapo bakwata kwa kuwa bakwata ni taasisi ya kanisaWaislam nyote mpo chini ya BAKWATA na ndo maana kwenye sherehe za kitaifa wanaalikwa kuomba Dua kwa niaba yenu waislamu, ndo wanatangaza Sherehe za Iddi kitaifa na mnazifata...mkuu hujui ata viongozi wako wa kidini ni akina nani.!?..
Kwa ulicho kiandika unaprove kabisa akili huna kama Dini Yako inakufundisha kutumia violence kusolve tatizo bila kutumia akili..na njia za haki..basi acha tu tuseme hamna akili...
[/QUOTE}
Nyie ndio wajinga, hamna hoja mkishindwa hoja mnahamisha magoli kwa kutukana watu wajinga au hawana akili
Hio mbinu saa hii tumeishtukia na tutawatwanga kweli kweli
Umeona ujinga wako sasa, nani asubiri tamko la bakwata? Sisi tunafata tamko la makkah kama mnavyofata tamko la roma na sisi ndio tutaikomboa inchi hiiAcha ujinga mbona sherehe za Idd huwa mnasubria tamko la Mufti ambaye ni kiongozi wa BAKWATA..!??..BAKWATA ndo viongozi wenu mnawakataa Tena...!?