Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake.
Posta ndio wasafirishaji wa Mizigo ya ndani na Nje ya Nchi ila huo mzigo uwe sio wa kuvunja sheria au unahitaji vibali kama unahitaji vibali utaambiwa ambatanisha vibali vyake mzigo unapelekwa Nchi yeyote unayotaka..