Kwa soko la tz ipi ina trend nzuriICT pana sana mkuu na kote kunahitaji ubobezi wake. Networking, Security, Infrastructure, Sysadmin, Software dev e.t.c na ndio zinazaa kazi tofauti tofauti.
Hizi kazi hazifanywi kwa trend. Wala kuwa na cheti hakukufanyi kuweza kucompete kwenye sokoKwa soko la tz ipi ina trend nzuri
Unaonaje ukijibunkama nilivyouliza hayo yote juu YAKO sawa lakini sisis tunataka kujua hasa tenda nyingi zinaangukia wapi, ILI tujie tunapatawapi WATU wenye competence mkuu.Hizi kazi hazifanywi kwa trend. Wala kuwa na cheti hakukufanyi kuweza kucompete kwenye soko
Wanaofanikiwa huku ni watu wanaopenda kutatua matatizo magumu kwa ku apply technology, sio watu wanaoingia ili kupata fedha au trend - hutoboi.
Huku mtaji sio pesa wala cheti, ni reslience ya kupambana mpaka kupata solution, kupenda kujifunza vitu vipya kila siku, lugha ya Kiingereza basic ni lazima, na kufikiri kwa kutumia logic