Uchaguzi 2020 Ni Kanda ya Ziwa ila maji tunapata kwa masaa na unataka tukupigie kura tena?

Hii ni igoma Mwanza. Mchana hakuna maji. Usiku yakija ndyo yanatoka namna iyo. Bomba limefunguliwa hadi mwisho.

KURA MTAPIGIWA NA MANDEGE MLIYONUNUA.

Ina
Too Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?
Inakasirisha sanaaa kwa kwel,sie hapa igoma n wik ss inakata
 
Piga chini hao vibaka ccm[emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Maji maji maji ni janga kubwa sana kanda ya ziwa.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kuna maeneo mwanza hii, maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua Mwanza wakina " Mabula"ndyo bure kabisa. Hawana msaada wowote. Wamekaa bungeni miaka 5 hoja zao ni kusifia tu huku wakisahau changamoto za waliowachagua wakijali masilai yao na ya aliyewateua.

Mbali na maji, barabara vumbi za mwanza ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu. Mvua imepiga mara moja tu kwisha, mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua..fulu stopu.
 
Fikiria maeneo yanayounda ya wilaya ya sengerema mfano vijiji vya nyamatongo, nyamilillo, nyamtelela, ibondo nk vyote vina shida kubwa ya maji pamoja na kuwa viko siyo zaidi ya kilomita 20 kutoka lilipo ziwa vikitoria. Nenda wilaya za misungwi, kwimba na Magu, Kote huko maji ni shida sana. na mara zote CCM hushinda kwa kishindo maeneo hayo.

Kilimanjaro Arusha chadema inashinda kwa kishindo lakini maji yapo Wala Wala.

Hao ata siwaonei huruma waendelee kuichagua CCM tuu na maji watayasikilizia kwenye bomba.
 
Too Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?

Katika uchaguzi huu, iwapo wagombea nafasi za uongozi wa kila localities zote i.e Kata (madiwani) & Majimbo (ubunge) wakiwa na uwezo mzuri kuzi - address hoja kama hizi sawasawa mbele za wananchi, watapata kura nyingi sana na kushinda bila shaka....
 
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Maji maji maji ni janga kubwa sana kanda ya ziwa.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kuna maeneo mwanza hii, maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua Mwanza wakina " Mabula"ndyo bure kabisa. Hawana msaada wowote. Wamekaa bungeni miaka 5 hoja zao ni kusifia tu huku wakisahau changamoto za waliowachagua wakijali masilai yao na ya aliyewateua.

Mbali na maji, barabara vumbi za mwanza ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu. Mvua imepiga mara moja tu kwisha, mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua..fulu stopu.
 
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Maji maji maji ni janga kubwa sana kanda ya ziwa.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kuna maeneo mwanza hii, maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua Mwanza wakina " Mabula"ndyo bure kabisa. Hawana msaada wowote. Wamekaa bungeni miaka 5 hoja zao ni kusifia tu huku wakisahau changamoto za waliowachagua wakijali masilai yao na ya aliyewateua.

Mbali na maji, barabara vumbi za mwanza ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu. Mvua imepiga mara moja tu kwisha, mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua..fulu stopu.

Sisi tunanunua ndege cash maji mtasubiri sana.
 
Kama unaona uko karibu na ziwa halafu huna maji ya kunywa basi ujue una matatizo fulani ya kiakili. Utaonacje chakula halafu ukabaki na njaa?
 
Ona sasa..chato watu hawana maji ila wanataa za barabarani. Na uwanja wa ndege wanajengewa.

Then aseme wapinzani wanatumika na mabeberu wakati ujinga wanafanya wenyewr

Kuna mtu Chato aliwahi mwambia Rais. “Ukija na maji yanakuja, ukiondoka na maji yanaondoka”🤣
 
Too Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?
Kila sehuku kuna kero ya maji kama wakazi wa dar wanalalamikia kubambikiwa bill hewa za maji kukatiwa maji naujinga kibao mwaka huu ccm lazi tuwapigi chine haku option
 
Kama unaona uko karibu na ziwa halafu huna maji ya kunywa basi ujue una matatizo fulani ya kiakili. Utaonacje chakula halafu ukabaki na njaa?
Wewe akili zako zipo sawa kweli?
 
Back
Top Bottom