BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Uongo tena! We unaishi wapi mbona kama uko kila sehemAcha uongo wewe. Bulale nyanembe sijui kigoto uko ndyo hata maji ya bomba hawajui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo tena! We unaishi wapi mbona kama uko kila sehemAcha uongo wewe. Bulale nyanembe sijui kigoto uko ndyo hata maji ya bomba hawajui.
Ha ha ha kweli wewe zero hasa. Kwani Kanda ya ziwa unaishi peke yako?. Adui yako, rafiki wa mwenzako..Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.
Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.
Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kunamaeneo mwanza hii maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.
Hawa wabunge tuliochagua ndyo bure kabisa. Mbali na maji ila barabara vumbi ndyo hovyo kabisa.
Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu mvua imepiga mara moja tu kwisha mabonde kuinama kama kawaida.
Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua.
Kule Chato niliona picha za Kitila Mkumbo mwenyewe amebeba koleo yuko mtaroni akichimba,watu wanajua kujikomba aisee.View attachment 1535056
Mzee was ku log off na kusomaPoleni sana
Nalog off
Umeandika nini sasa apo?Ha ha ha kweli wewe zero hasa. Kwani Kanda ya ziwa unaishi peke yako?. Adui yako, rafiki wa mwenzako..
Uko bulale ndugu yangu anamradi wakuuza maji. Kanunua matank maji yakiingia anajaza. Ila yanaingia kwa nadra sana. Kunakipind anakosa maji wiki nzimaUongo tena! We unaishi wapi mbona kama uko kila sehem
achane naye kumjibu niko mwanza najua hali ya kila mahali,hali ya maji ni mbaya sanaaaaaaaaaUko bulale ndugu yangu anamradi wakuuza maji. Kanunua matank maji yakiingia anajaza. Ila yanaingia kwa nadra sana. Kunakipind anakosa maji wiki nzima
AhahahahMimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.
Maji maji maji ni janga kubwa sana kanda ya ziwa.
Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.
Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kuna maeneo mwanza hii, maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.
Hawa wabunge tuliochagua Mwanza wakina " Mabula"ndyo bure kabisa. Hawana msaada wowote. Wamekaa bungeni miaka 5 hoja zao ni kusifia tu huku wakisahau changamoto za waliowachagua wakijali masilai yao na ya aliyewateua.
Mbali na maji, barabara vumbi za mwanza ndyo hovyo kabisa.
Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu. Mvua imepiga mara moja tu kwisha, mabonde kuinama kama kawaida.
Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua..fulu stopu.
Ndiyo ushangae mkuuToo Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?
sikia ukienda mita thelasthini chini kisima kuna maji ila wasukuma ni wajinga wa ccm hakyamungu ukweli ni huoSawa anajikomba lakini ni kwa njia ya "Kiprofesa" sio kama lijualikali!
Sema mzee baba, kwema?Mzee was ku log off na kusoma
Sasa wewe unaona ziwa hilo hapo unasubiri maji siukachote ziwani, ngoja nikukute hauna maji hakyamungu utanionaToo Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?
Mita 30 wapi foot 20 unapata maji, upepo upo wakutosha ukifunga windmill unapata maji Hadi unauzia na majirani unafuga na samakisikia ukienda mita thelasthini chini kisima kuna maji ila wasukuma ni wajinga wa ccm hakyamungu ukweli ni huo
Kwa hiyo nibebe ndoo ?Sasa wewe unaona ziwa hilo hapo unasubiri maji siukachote ziwani, ngoja nikukute hauna maji hakyamungu utaniona
Kuna plant inajengwa Butimba kwa ajili ya kusupply eneo kubwa la Nyamagana na ile ya Capri point ibaki kusupply maeneo ya Ilemela so nadhani tatizo litapungua au kuisha kabisa.Uko bulale ndugu yangu anamradi wakuuza maji. Kanunua matank maji yakiingia anajaza. Ila yanaingia kwa nadra sana. Kunakipind anakosa maji wiki nzima