Uchaguzi 2020 Ni Kanda ya Ziwa ila maji tunapata kwa masaa na unataka tukupigie kura tena?

Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kunamaeneo mwanza hii maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua ndyo bure kabisa. Mbali na maji ila barabara vumbi ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu mvua imepiga mara moja tu kwisha mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua.
Endeleeni kupigika mtapata akili tu
 
Too Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?

Si mkachoke tu kwa mkokoteni na ‘mpilya’.... maji unayaona halafu unasubiri serikali ije ikuingizie!
 
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kunamaeneo mwanza hii maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua ndyo bure kabisa. Mbali na maji ila barabara vumbi ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu mvua imepiga mara moja tu kwisha mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua.
Vipi mkuu shato nako kuna mgawo wa maji?
 
Too Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?
Dah, kumekucha!
 
Kumbe Victorie nawe upo kwenye jiji hili! Huku kwetu Bwiru, maji, barabara usiseme. Lakini ukienda mikoa mingine wanaamini huku Kanda ya Ziwa tunapendelewa.

Jamani huku nako hamna kitu. Labda hizo teuzi za upendeleo ambazo nazo zinagusa watu wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria maeneo yanayounda ya wilaya ya sengerema mfano vijiji vya nyamatongo, nyamilillo, nyamtelela, ibondo nk vyote vina shida kubwa ya maji pamoja na kuwa viko siyo zaidi ya kilomita 20 kutoka lilipo ziwa vikitoria. Nenda wilaya za misungwi, kwimba na Magu, Kote huko maji ni shida sana. na mara zote CCM hushinda kwa kishindo maeneo hayo.
 
Basi wameridhika na shida ya maji, huwa naona wasukuma wamebeba madumu ya maji kwenye baiskeli na wengine kutumia mikokoteni ya ng'ombe kukokota madumu ya maji, haya mwendo mdundo..
 
Sawa wamama zetu na watoto watasota na ndoo kichwani ila msipoteze muda kutuomba kura zetu. Kaombeni kura mandege mliyonunua

Mabula alishawatua ndoo kichwani, sema baadhi yenu mmeharibu miundombinu kwa hujuma!
 
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kunamaeneo mwanza hii maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua ndyo bure kabisa. Mbali na maji ila barabara vumbi ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu mvua imepiga mara moja tu kwisha mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua.
Mkiwapigia kura tena mtakuwa mambulula.
 
Back
Top Bottom