Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

Wewe usijitoe ufaham πŸ˜‚πŸ˜‚ ni vile watu walipigwa pini kukosoa kwa kila hali, lkn wizi ulikua kama kawaida but kwa kundi lake tuu.
MATAGA anajidanganya ile awamu ya kishetani hakukua na wizi.

Kumbe ulikua ni wa juu sana ila unafanywa na wachache na wakizuia wengine kujua kirahisi.
 
Magufuli alinajisi uchaguzi na kujaza wanaccm maeneo yote kuwa hao ni wazalendo, sasa hiki kinachokuliza hapa waagize hao wabunge na madiwani wa ccm wahoji. Hiki unachokilalamikia leo ndio tulisema Magufuli anatumia madaraka yake vibaya hamkusikia, sasa pambaneni ba hali zenu maana wapinzani walikuwa wanawakwamisha.
 
Thinking ya zama za kale hii.
 
Anayepinga katiba Mpya ni mtu hatari sana kwa ustawi wa tanzania.
 
Suala la kudai katiba mpya sio suala wabunge pekee.
Halihusiani pia na uchaguzi wa 2020.

Labda kama una jambo lako mfuko wa nyuma.
 
Suala la kudai katiba mpya sio suala wabunge pekee.
Halihusiani pia na uchaguzi wa 2020.

Labda kama una jambo lako mfuko wa nyuma.

Toka awali tunaona msukumo wa kudai katiba mpya unatoka kwa wanasiasa ikiwemo ndani ya bunge. Mifumo ya kuibana serikali ina nguvu zaidi ndani ya bunge, kwani huku nje watu wanaishia kutiwa vilema vya maisha na kuhujumiwa shughuli zao za kuwaingizia vipato. Sasa kama umeona kuna umuhimu wa katiba mpya ukiwa umechelewa, waambie wabunge wa ccm wahoji pia huko bungeni.
 
Uliona wapi? Hata kenya mbinyo wa katiba mpa ulitoka kwa wananchi. Acha kupindisha mambo.

Najua una maumivu ya kukosa ubunge 2020.
 
Uliona wapi? Hata kenya mbinyo wa katiba mpa ulitoka kwa wananchi. Acha kupindisha mambo.

Najua una maumivu ya kukosa ubunge 2020.

Kawatafute hao wananchi mdai katiba mpya. Kilichotokea Kenya wala hukijui ww baki na siasa za kumpamba dhalimu.
 
Kawatafute hao wananchi mdai katiba mpya. Kilichotokea Kenya wala hukijui ww baki na siasa za kumpamba dhalimu.
Nakuambia hivi maamuzi ya kupata katiba mpya yapo mikononi mwa wananchi. Dunia nzima wananchi ndio wana maamuzi juu ya taifa lao.
 
Nakuambia hivi maamuzi ya kupata katiba mpya yapo mikononi mwa wananchi. Dunia nzima wananchi ndio wana maamuzi juu ya taifa lao.

Sio kwa wananchi wa Tanzania walio baridi hivi. Hawa ni lazima wahamasishwe, sio kwenye siasa tu ni karibu kila jambo.
 
Awamu ile walikuwa wezi wa kura (2019&2020)

Na wizi wa pesa kwani Trillion 1.5 zilipotea awamu gani?

Na Plea bargain za kubumba.
Unao ushahidi wa 1.5T ilipoenda! kumbuka 1.5t sio 15,000
 
Sio kwa wananchi wa Tanzania walio baridi hivi. Hawa ni lazima wahamasishwe, sio kwenye siasa tu ni karibu kila jambo.
Naona umekuwa muelewa kiduchu.
Pole sana kwa kupoteza pesa uchaguzi wa 2020.

Ulijenga madarasa ukadhania utachaguliw?
 
Naona umekuwa muelewa kiduchu.
Pole sana kwa kupoteza pesa uchaguzi wa 2020.

Ulijenga madarasa ukadhania utachaguliw?

Nimecheka kwa nguvu, sijawahi hata kutamani kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa, acha hiyo kugombea. Anyway ngoja ikae hivyo hivyo. Lakini waambie ccm wadai katiba mpya maana hata wao ni wananchi.
 
Hujaelewa tu kwa sasa mudi ya kupata katiba mpya ipo juu sana hasa baada mafisadi kurudi kwa kasi. Fanya utafiti na utaniambia.

Hata huko bungeni wabunge wanajikausha sababu mfumo sio mzuri maana unaweza kutimuliwa uanachama na ukakosa ulaji lakini wanataka katiba mpya.
 
Hebu tulia ww maana huna jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…