MATAGA anajidanganya ile awamu ya kishetani hakukua na wizi.Wewe usijitoe ufaham 😂😂 ni vile watu walipigwa pini kukosoa kwa kila hali, lkn wizi ulikua kama kawaida but kwa kundi lake tuu.
Kumbe ulikua ni wa juu sana ila unafanywa na wachache na wakizuia wengine kujua kirahisi.