Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya.

Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa.

Tuwe na katiba ambayo kama bunge likishindwa kuisimamia serikali kwa uzembe wowote tunawatua wabunge majimboni kwetu.

Leo hii rais akiwa ikulu anafanya anavyotaka sababu hatuna katiba iliyowapa wananchi meno ya kumuadhibu. Hata kama atafanya masuala yasiyofaa.

Watanzania wote tunaopenda taifa letu lisiibiwe kwa manufaa ya kizazi hiki na kinachokuja tupiganie katiba mpya. Ufisadi sasa umerudi kwa kasi kubwa.
Tuliza kichwa bro otherwise utapata kiharusi kwa kushindwa kutwa kubuni threads za kuponda Serikali ya Rais SSH.

Samia yupo hadi 2030 kwa hiyo yazoee maisha au nenda Chato kachimbe kaburi uwe karibu na huyo muliyekuwa mnamuabudu.
 
We makalio unawashwa huko nyuma unatafuta kufumuliwa mavi?
 
Integrity ni Jambo Gumu Sana kwa viongozi wa Africa. Kenya walibadilisha katiba yao na ukiangalia Mambo mengi ya katiba pendekezwa ya warioba etc vitu vingi tumechukua from Kenya.Lakini angalia jinsi Kenya ufisadi ulivo mkubwa kuliko hata Tanzania.
Kwa Nchi na Serikali za Kiafrika Katiba ni kama Toilet paper.

Sijui tufanye nini?
 
Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya.

Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa.

Tuwe na katiba ambayo kama bunge likishindwa kuisimamia serikali kwa uzembe wowote tunawatua wabunge majimboni kwetu.

Leo hii rais akiwa ikulu anafanya anavyotaka sababu hatuna katiba iliyowapa wananchi meno ya kumuadhibu. Hata kama atafanya masuala yasiyofaa.

Watanzania wote tunaopenda taifa letu lisiibiwe kwa manufaa ya kizazi hiki na kinachokuja tupiganie katiba mpya. Ufisadi sasa umerudi kwa kasi kubwa.
Jiwe alipokuwa ikulu mlikuwa mnatupoteza na kututeka tulipodai katiba mpya..
Sasa hivi mko against Samia mnatuletea hizo habari though mnajua deep down hamuitaki katiba mpya.
 
We pimbi hujawahi kuwa na akili humu ndani?
 
Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya.

Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa.

Tuwe na katiba ambayo kama bunge likishindwa kuisimamia serikali kwa uzembe wowote tunawatua wabunge majimboni kwetu.

Leo hii rais akiwa ikulu anafanya anavyotaka sababu hatuna katiba iliyowapa wananchi meno ya kumuadhibu. Hata kama atafanya masuala yasiyofaa.

Watanzania wote tunaopenda taifa letu lisiibiwe kwa manufaa ya kizazi hiki na kinachokuja tupiganie katiba mpya. Ufisadi sasa umerudi kwa kasi kubwa.
Kwi Kwi Kwi
 
MAUMIVU KWA MASIKINI WALIPA KODI VIONGOZI hawana Maumivu yoyote zaidi ya UPIGAJI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wizi upo kwenye damu tangu utoto
Imekuwa kama jadi tu
Mtoto akianza kuiba kalamu darasani mpaka anakuwa atakuwa hivyo hivyo

Hata katiba hiyo itaandikwa tu lakini itavunjwa tu
Anzeni chini la sivyo hamtabadilika maisha yenu
 
Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya.

Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa.

Tuwe na katiba ambayo kama bunge likishindwa kuisimamia serikali kwa uzembe wowote tunawatua wabunge majimboni kwetu.

Leo hii rais akiwa ikulu anafanya anavyotaka sababu hatuna katiba iliyowapa wananchi meno ya kumuadhibu. Hata kama atafanya masuala yasiyofaa.

Watanzania wote tunaopenda taifa letu lisiibiwe kwa manufaa ya kizazi hiki na kinachokuja tupiganie katiba mpya. Ufisadi sasa umerudi kwa kasi kubwa.

Yaani no hatari Kwa kweli watu wanaiba pesa ya Serikali bila woga
 
Back
Top Bottom