Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Asalam walekum,

Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu.

Mfano:
Ethiopia wana strongest airline.
Seychelles and SA: best education system
SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure.
Afya: SA, na nchi za Waarabu.

Je, tuendelee kuwa wanyonge? La, hasha! Tunaweza.
 
Asalam walekum,

Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu.
Mfano:
Ethiopia wana strongest airline.
Seychelles and SA: best education system
SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure.
Afya: SA, na nchi za waarabu.

Simba na Yanga
 
Tanzania,-uchawa, Maombi na maombezi.
 
Asalam walekum,

Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu.
Mfano:
Ethiopia wana strongest airline.
Seychelles and SA: best education system
SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure.
Afya: SA, na nchi za waarabu.

Je, tuendelee kuwa wanyonge? La, hasha! Tunaweza.
Kukamata na kukana kukamata, baada ya wiki "yupo kituo cha Polisi anahojiwa"
 
  1. Tumefanikiwa kupata Mkuu wa Nchi Aliyejikita kwenye kuigiza movie na wasanii maarufu ulimwenguni, ambaye pia alikuwa na ndoto za kuwa air hostess.
  2. Tumefanikiwa kupata waziri wa fedha anayepima amendeleo ya ukuaji wa uchumi wa nchi kwa kuangalia idadi ya magari yenye namba za usajili zinazoanzia na E pia wingi wa harusi nchini.
  3. Tumefanikiwa kuondoa hata vitu vya msingi kama bandeji, sindano, dawa muhimu kwa mataibabu ya kisukari etc kwenye mfuko wa taifa wa Bima ya afya.
  4. Tumefanikiwa kuruhusu watumishi wa umma kwa nafasi walizopo wale mali ya umma kadiri wawezavyo ilimradi wasivuke urefu wa kamba zao.
  5. Tumefanikiwa kuhakikisha Mama mjamzito ni lazima alipie gharama za kujifungua kabla ya kupata huduma hiyo, vinginevyo anaweza kupoteza uhai wake akiwa mapokezi.
  6. Tumefanikiwa kumuongezea mtanzania mzigo wa kodi kwenye huduma za kifedha (Tozo) pasipo kumuambia hizo pesa zinakwenda kufanya kitu gani.
Nani kama mama?? mungu atupe nini wa Tanzania??
Kimsingi mafanikio ni mengi sana
 
Asalam walekum,

Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu.
Mfano:
Ethiopia wana strongest airline.
Seychelles and SA: best education system
SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure.
Afya: SA, na nchi za waarabu.

Je, tuendelee kuwa wanyonge? La, hasha! Tunaweza.
Kuinua machawa
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era
 
Taifa Hili lina magonjwa mengi sugu yanayoturudisha nyuma.
1 . siasa mbovu
2. Mfumo wa elimu mbovu.
3. Ukandamizwaji kwa watumishi na wakulima.
4. Rushwa.
5. Ulafi wa kutaka uongozi(both CCM na UPINZANI)
6. wingi wa wasomi wajinga.
7. Umaskini.
So hatuwezi kubeza tulipo lakini Magufuli angetuvusha zaidi ya hapa.
 
Back
Top Bottom