Ni katika kundi gani katika jamii Bwana yule anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura za kundi husika?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Nikimtafakari Bwana mkubwa na jinsi anavyoendesha kijiji chetu tangu aingie ofisini,sioni ni katika kundi gani katika jamii ya wadanganyika ambako anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura zote kutoka katika lolote miongoni mwa haya na mengineo ambayo sijayataja:

1.Wafanyakazi
2.Wafanyabiashara
3.Wakulima
4.Wavuvi
5.Wamachinga
6.Wanafunzi wa vyuo mbalimbali
7.Wahitimu wa vyuo mbalimbali
8.Wanasiasa wenzake.
9.Wanahabari

Jamani mimi binafsi sioni kama kuna kundi miongoni mwa hayo ambalo anaweza ambulia walau asilimia 30 ya kura zote za wanakijiji.

Hata kama katika kijiji chetu hakuna uchaguzi huru na wa haki,matokeo halisi watayapata.
 
Ondoa kundi la wafanyakazi wanachuo waliohitimu+walioko masomoni bodi ya mkopo inazingua
 
Nikimtafakari Bwana mkubwa na jinsi anavyoendesha kijiji chetu tangu aingie ofisini,sioni ni katika kundi gani katika jamii ya wadanganyika ambako anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura zote kutoka katika lolote miongoni mwa haya na mengineo ambayo sijayataja:

1.Wafanyakazi
2.Wafanyabiashara
3.Wakulima
4.Wavuvi
5.Wamachinga
6.Wanafunzi wa vyuo mbalimbali
7.Wahitimu wa vyuo mbalimbali
8.Wanasiasa wenzake.
9.Wanahabari

Jamani mimi binafsi sioni kama kuna kundi miongoni mwa hayo ambalo anaweza ambulia walau asilimia 30 ya kura zote za wanakijiji.

Hata kama katika kijiji chetu hakuna uchaguzi huru na wa haki,matokeo halisi watayapata.
Muda si mrefu mtaanza sema 2025 sio mbali..
 
Wewe kanywe gongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee waogope watanzania sas hv wanapiga kelele lkn uchaguz ukifika wanashikwa matako kidogo wanasahau yote sijui mungu tulimkosea nn sisi tukawa nchi ya hovyo hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikipigwa fair huko Ccm huku kwa Wananchi hafiki Anagalagazwa Asubui tu..

Na Akijipitisha kibabe uko Ccm huku kwa Wananchi kikapigwa fair hata 20% hafikishi pia
 
Aisee waogope watanzania sas hv wanapiga kelele lkn uchaguz ukifika wanashikwa matako kidogo wanasahau yote sijui mungu tulimkosea nn sisi tukawa nchi ya hovyo hv

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli, tatizo wapinzani hawaweki wagombea wenye ushindani, ni kosa kutegemea tu udhaifu wa CCM bila kuonyesha uwezo wako unaokubalika!
 
Back
Top Bottom