TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Tumewakaribisha watani zetu huku pwani na mifugo yao!!! Basi kiutani utani wametufundisha kubadili mtindi kuw mboga, Mkuu.Unatokea kanda ya ziwa chief ?
Tumewakaribisha watani zetu huku pwani na mifugo yao!!! Basi kiutani utani wametufundisha kubadili mtindi kuw mboga, Mkuu.Unatokea kanda ya ziwa chief ?
Siasa sio hesabu ni upepoMmetaka, hamkutaka atakuwa.
Haya tulia huko USA uinjoy democrasiaNajua
Hasa nyanya na vitunguu vimepanda sana bei.
Kuna maeneo nyanya tatu zinauzwa buku
hiii bodi hii ni ya kipumbavu sanaOndoa kundi la wafanyakazi wanachuo waliohitimu+walioko masomoni bodi ya mkopo inazingua
ni kwel na hakuna ubishiNajua
Hasa nyanya na vitunguu vimepanda sana bei.
Kuna maeneo nyanya tatu zinauzwa buku
hawatampa wanakatwa mrahaba wa mashamba yaliyolipwa fidia na mzungu swal la kujiuliza mmiliki wa mrahaba huo ni nani?Wachimbaji wadogo wadogo watmpa kura
nasikia mabeberu wanahusika na kupanda kwa bei ya nyanya
nasikia mabeberu wanahusika na kupanda kwa bei ya nyanya
hawatampa wanakatwa mrahaba wa mashamba yaliyolipwa fidia na mzungu swal la kujiuliza mmiliki wa mrahaba huo ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kundi pekee ambalo linajipa uhalali wa kuisemea nchi ni lile la wajinga wachache, Wananchi wanamkubali sana JPM, Na wanajua kuwa kuna kiongozi shupavu asiyeyumbishwa na mabeberu.
Tatizo lako uko kwenye payrol ya watu fulani, Pole.
Unaishi wapi?Hakuna mtu anayejielewa na mwenye mapenzi na nchi yetu anaweza mpankira jiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app