Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Sasa kilichokukimbiza huko ni nini kama una mahaba naye?Sisi diaspora tutampa kura zote
Wako huru kufanya biashara popote pale. Ongeza bodaboda na bajaji.Wafanyabiashara wadogowadogo (machinga).
Wanufaika wa moja Kwa moja wa Mirada ya Awamu hii
Muda si mrefu mtaanza sema 2025 sio mbali..Nikimtafakari Bwana mkubwa na jinsi anavyoendesha kijiji chetu tangu aingie ofisini,sioni ni katika kundi gani katika jamii ya wadanganyika ambako anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura zote kutoka katika lolote miongoni mwa haya na mengineo ambayo sijayataja:
1.Wafanyakazi
2.Wafanyabiashara
3.Wakulima
4.Wavuvi
5.Wamachinga
6.Wanafunzi wa vyuo mbalimbali
7.Wahitimu wa vyuo mbalimbali
8.Wanasiasa wenzake.
9.Wanahabari
Jamani mimi binafsi sioni kama kuna kundi miongoni mwa hayo ambalo anaweza ambulia walau asilimia 30 ya kura zote za wanakijiji.
Hata kama katika kijiji chetu hakuna uchaguzi huru na wa haki,matokeo halisi watayapata.
Wewe kanywe gongoNikimtafakari Bwana mkubwa na jinsi anavyoendesha kijiji chetu tangu aingie ofisini,sioni ni katika kundi gani katika jamii ya wadanganyika ambako anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura zote kutoka katika lolote miongoni mwa haya na mengineo ambayo sijayataja:
1.Wafanyakazi
2.Wafanyabiashara
3.Wakulima
4.Wavuvi
5.Wamachinga
6.Wanafunzi wa vyuo mbalimbali
7.Wahitimu wa vyuo mbalimbali
8.Wanasiasa wenzake.
9.Wanahabari
Jamani mimi binafsi sioni kama kuna kundi miongoni mwa hayo ambalo anaweza ambulia walau asilimia 30 ya kura zote za wanakijiji.
Hata kama katika kijiji chetu hakuna uchaguzi huru na wa haki,matokeo halisi watayapata.
Nimeenda kumuombea msamaha Makonda
Unajua mkate, sukari, nyanya ni sh. Ngapi hapa TanzaniaNimeenda kumuombea msamaha Makonda
Si kweli, tatizo wapinzani hawaweki wagombea wenye ushindani, ni kosa kutegemea tu udhaifu wa CCM bila kuonyesha uwezo wako unaokubalika!Aisee waogope watanzania sas hv wanapiga kelele lkn uchaguz ukifika wanashikwa matako kidogo wanasahau yote sijui mungu tulimkosea nn sisi tukawa nchi ya hovyo hv
Sent using Jamii Forums mobile app