Ni katika kundi gani katika jamii Bwana yule anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura za kundi husika?

Kupata kwa kupewa siyo rahisi lakini akiwa na uwezo wa kupoka atapata zote tu! Hakuna namna nyingine isipokuwa kupoka!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kundi pekee ambalo linajipa uhalali wa kuisemea nchi ni lile la wajinga wachache, Wananchi wanamkubali sana JPM, Na wanajua kuwa kuna kiongozi shupavu asiyeyumbishwa na mabeberu.
Tatizo lako uko kwenye payrol ya watu fulani, Pole.
 
 
Umesahau kundi moja muhimu
10. Chadema wanaojitambua
*****
Hili kundi ni miongoni mwa makundi kadhaa ulioyaorodhesha yatakayompa kura nyingi zaidi.
 
Uko sahihi, atapata kwa kuiba na policcm


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…