Ni kauli gani ya vyama/wagombea ilikupa hofu wakati wa kampeni za uchaguzi?

Ni kauli gani ya vyama/wagombea ilikupa hofu wakati wa kampeni za uchaguzi?

Nguruka

Senior Member
Joined
Dec 6, 2006
Posts
189
Reaction score
129
Mara nyingi wakati wa Kampeni za uchaguzi, kumekua na kauli mbalimbali zinazotolewa na vyama vya Siasa au wagombea ambazo zinachagia hofu kwa wapiga kura kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi.

Mfano wa kauli za vitisho ni "Jino kwa Jino" "Moto utawaka siku ya Uchaguzi" Je, wewe mdau unakumbuka kauli gani?
 
..mkichagua wapinzani sitaleta maendeleo ktk jimbo lenu.

..hata mkiwapigia kura wapinzani Ccm tutachukua.

..Nireteeni Gwajima. Nireteeni Gwajimaaaa!!
 
Back
Top Bottom